murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
Precisely, this is the kind of mentality that people talk about, though it is mere a rhetoric, but again playing with words without giving a clear point will always sound hollow to those with a clear sense of facts. The World already know that Hutu refugees were ambushed by RPF in Congo and killed enmasse, the video footage is there, Kibeho killings are well documented. and five million people in Congo died due to Kagame and his other military conspirators systematic and deliberate distabilization of the country.
You don't know what you are talking about. Yaani hii google imesaidia watu wengi kweli. Siku hizi kila mtu hapa anajifanya ni expert on Rwanda. You don't know jack shit. Angalia ya kwenu hapo kwanza ndio ungilie ya wengine
Injustice anywhere is Injustice everywhere!(Martin Luther King jr)
Huwezi kuniambia niangalie ya sehemu gani, wakati unajua fika wale watu milioni tano waliouawa na serikali ya RPF na washirika wao kule Congo waliuawa katika ardhi ya nchi nyingine!.
Hamuwezi kuwa mnavamia nchi za watu na kusababisha Genocide, halafu unawaambia watu wengine eti waangalie mambo ya nchi zao tu.
Kama unafikiri yaliyotokea Kibeho, tena ndani ya nchi yako mwenyewe ni justified basi utakuwa unaumwa wewe!
Journalist and eyewitness Linda Polman, who was accompanying the approximately 80 Zambian soldiers from UNAMIR at Kibeho, described the situation that day:
''[There were] about 150,000[SUP][9][/SUP] refugees standing shoulder to shoulder on a mountain plateau the size of three football fields... For the last sixty hours the refugees had been forced to relieve themselves where they stand or where they have fallen. The stench takes my breath away... The refugees do nothing, say nothing, just stare at the Zambians... The two roads winding through the mountains to Kibeho have been closed. Food and water convoys from aid organisations are being stopped and sent back. The government has forbidden all refugee aid...A group of refugees, about six of them, break away and start running into the valley. Rwandan troops started firing immediately. We see the refugee fall dead. I scream at Capt. Francis [Zambian officer] "Stop them! Do something!"... He answers "We have been ordered to cooperate with the Rwandan authorities, not shoot at them." "Even if they kill innocent people before your eyes?" "Yes," he answers."
Tulia sasa nikupe mkanda, yani wewe mpaka uambiwe na huyo Linda Polman, kumbe wewe ulikuwaujui kuwa hayo mambo yalitokea? Ulikuwa wapi kipindi chote hicho? Picha ikohivi:
Wakati RPF ishakamata nchi sehemu pekee iliyokuwa imebakiailikuwa ni kibeho chini ya usaidizi wa wafaransa, ilikuwa inaitwa (Zone Turquoise)ambayo ilikuwa imeletwa kuwalinda kinaJmali huku wakisingizia eti wamekujakusaidia wakimbizi kipindi hicho! Kipi kilitokea? Waulize wazungu wa Ngo's ndiowanajua RPF ni watu gani.
Wakati kinaJmali walikuwa Kibeho walikuwa wamejichanganya nafamilia zao kama ngao na kuanza michezo yao ya hit and run, basi vijana wetuwaliokuwepo pale wakawaambia wazungu wao tusikilizane hawa watu kamamnavyowaona wamejimix na wanaendelea namaovu yao je tufanyeje? Wazungu wakabaki kuduwaa basi kama kawaida tukawapasiku tatu dawa iwe imepatikana au sivyo tutakabiliana nao kabla maji hayajazidikikombe, kinaJmali walikuwa nasiraha chungu mzima ila walikuwa hawatakikuachana na wakimbizi kwa kuogopa kipondo cha RPF, hizo siku zote tatu wazunguwalikuwa hawana solution na ukweli walikuwa wanauona, basi kama kawaida mjeshimkubwa mmoja akamwambia mzungu waNGOya kwamba kesho tutaanza kazi yetukwa hiyo mjiandae kuandika zile report zenu, kilichofwatia hapo ni history yachanzo cha Amani ndani ya Rwanda!
Sasa wacha nikuulize wewe kama jirani yetu mbona haukuwezakutoa ushauri wako utusaidie kukabiliana na maovu ya Jmali kwa kutumia njiaunayoona ingepaswa kutumika? Saa nyingine msiwe mnalaumu wazungu na wao ni watukama nyinyi kunakipindi wanakosa solution kabisa.
Turudi Congo DRC, hapa sasa ndio ilikuwa balaa maana kina Jmali na serikali yao ya zamani yotewalikuwa wameihamishia kule, kuanzia bank mpaka jeshi kwa kifupi kina Jmaliwalikuwa na serikali ndani ya serikali nyingine! Walipoharibu ni palewalipoanza kumchokonoakamanda Kagame,jamaa kama kawaida yao wakawa wanacross Rwanda kuja kuchoma ma bus, kuvamia shulena vinginevyo, tukamwambia Mobutu kama umeamua kupokea hao wauaji basiwafundishe na adabu akaleta dharau, tenganisha wakimbizi wakihalali na waasiakakataa, basi waamishie mbali ya mpakani hakutaka kusikia, tukaona isiwe tabuwacha tuongee na UN tuwaambie matatizo tunayoyapata, UN nayo kama mnavyoijua haikufanyachochote ingawa walikili Kamba kina Jmali ni janga, wafanyayo siyo ya kibinadamu na lazimasolution ipatikane la sivyo Rwanda itakuwa kama Somalia nyingine! Basi kamakawaida yetu tukaanza kuwahesabia siku , kilichofwatia hapo ndio hii Rwandamnayoisikia leo ya Amani na umoja!
Hao wazungu hawawezi kuacha kuandika report kuhusu kitualicho kiona kwa macho yake ila muulize je mbona ukutowa ushauri wa kilichotakiwakufanyika? Ndugu yangu hao wanoandikahizo report ukiwaweka chini uwaulize maswali watakuambia hawajapata kuona watustrategic kama RPF kwa sababu hawapapaliki kilakitu na wakati wake, wanaanzakwa kuengage wahusika(Dunia) na kama haina solution basi tunawapa yetu wenyewewanapiga makofi baadae. Ndio maana mpaka leo hutasikia mzungu anapeleka kesieti RPF imefanya hivi mara vile, sisi sio genge la wahuni, ukiona tumekufwatabasi tunasababu na lazima tukushinde.
Waafrica tunatakiwa kuacha mambo ya kulialia na kuogopakuchukua majukumu mazito! Matokeo yake ndio yale unayaona Nigeria(Bokoharam)watu wanatekwa kila siku na serikali haifanyi kitu, tazama Somalia nakwingineko, kutochukua maamuzi na kunenuliana ndivyo vinavyofikisha Africa pabovu hivi, tunatakiwa tuanzekutetea interest za nchi zetu bila kuogopa mzungu kama wao wafanyavyo.
You don't know what you are talking about. Yaani hii google imesaidia watu wengi kweli. Siku hizi kila mtu hapa anajifanya ni expert on Rwanda. You don't know jack shit. Angalia ya kwenu hapo kwanza ndio ungilie ya wengine
Mkuu, kwanza mmetudharirisha kumtukana rais wetu, na ukatili mnaoufanya. Lazima tuingilie mambo ya kwenu. Ngoja tumalize uchaguzi muone. Msilete ambo ya kijingakijinga hapa. Lazima mpigwe makaburu nyie.
Tulia sasa nikupe mkanda, yani wewe mpaka uambiwe na huyo Linda Polman, kumbe wewe ulikuwaujui kuwa hayo mambo yalitokea? Ulikuwa wapi kipindi chote hicho? Picha ikohivi:
Wakati RPF ishakamata nchi sehemu pekee iliyokuwa imebakiailikuwa ni kibeho chini ya usaidizi wa wafaransa, ilikuwa inaitwa (Zone Turquoise)ambayo ilikuwa imeletwa kuwalinda kinaJmali huku wakisingizia eti wamekujakusaidia wakimbizi kipindi hicho! Kipi kilitokea? Waulize wazungu wa Ngos ndiowanajua RPF ni watu gani.
Wakati kinaJmali walikuwa Kibeho walikuwa wamejichanganya nafamilia zao kama ngao na kuanza michezo yao ya hit and run, basi vijana wetuwaliokuwepo pale wakawaambia wazungu wao tusikilizane hawa watu kamamnavyowaona wamejimix na wanaendelea namaovu yao je tufanyeje? Wazungu wakabaki kuduwaa basi kama kawaida tukawapasiku tatu dawa iwe imepatikana au sivyo tutakabiliana nao kabla maji hayajazidikikombe, kinaJmali walikuwa nasiraha chungu mzima ila walikuwa hawatakikuachana na wakimbizi kwa kuogopa kipondo cha RPF, hizo siku zote tatu wazunguwalikuwa hawana solution na ukweli walikuwa wanauona, basi kama kawaida mjeshimkubwa mmoja akamwambia mzungu waNGO ya kwamba kesho tutaanza kazi yetukwa hiyo mjiandae kuandika zile report zenu, kilichofwatia hapo ni history yachanzo cha Amani ndani ya Rwanda!
Sasa wacha nikuulize wewe kama jirani yetu mbona haukuwezakutoa ushauri wako utusaidie kukabiliana na maovu ya Jmali kwa kutumia njiaunayoona ingepaswa kutumika? Saa nyingine msiwe mnalaumu wazungu na wao ni watukama nyinyi kunakipindi wanakosa solution kabisa.
Turudi Congo DRC, hapa sasa ndio ilikuwa balaa maana kina Jmali na serikali yao ya zamani yotewalikuwa wameihamishia kule, kuanzia bank mpaka jeshi kwa kifupi kina Jmaliwalikuwa na serikali ndani ya serikali nyingine! Walipoharibu ni palewalipoanza kumchokonoa kamanda Kagame,jamaa kama kawaida yao wakawa wanacross Rwanda kuja kuchoma ma bus, kuvamia shulena vinginevyo, tukamwambia Mobutu kama umeamua kupokea hao wauaji basiwafundishe na adabu akaleta dharau, tenganisha wakimbizi wakihalali na waasiakakataa, basi waamishie mbali ya mpakani hakutaka kusikia, tukaona isiwe tabuwacha tuongee na UN tuwaambie matatizo tunayoyapata, UN nayo kama mnavyoijua haikufanyachochote ingawa walikili Kamba kina Jmali ni janga, wafanyayo siyo ya kibinadamu na lazimasolution ipatikane la sivyo Rwanda itakuwa kama Somalia nyingine! Basi kamakawaida yetu tukaanza kuwahesabia siku , kilichofwatia hapo ndio hii Rwandamnayoisikia leo ya Amani na umoja!
Hao wazungu hawawezi kuacha kuandika report kuhusu kitualicho kiona kwa macho yake ila muulize je mbona ukutowa ushauri wa kilichotakiwakufanyika? Ndugu yangu hao wanoandikahizo report ukiwaweka chini uwaulize maswali watakuambia hawajapata kuona watustrategic kama RPF kwa sababu hawapapaliki kilakitu na wakati wake, wanaanzakwa kuengage wahusika(Dunia) na kama haina solution basi tunawapa yetu wenyewewanapiga makofi baadae. Ndio maana mpaka leo hutasikia mzungu anapeleka kesieti RPF imefanya hivi mara vile, sisi sio genge la wahuni, ukiona tumekufwatabasi tunasababu na lazima tukushinde.
Waafrica tunatakiwa kuacha mambo ya kulialia na kuogopakuchukua majukumu mazito! Matokeo yake ndio yale unayaona Nigeria(Bokoharam)watu wanatekwa kila siku na serikali haifanyi kitu, tazama Somalia nakwingineko, kutochukua maamuzi na kunenuliana ndivyo vinavyofikisha Africa pabovu hivi, tunatakiwa tuanzekutetea interest za nchi zetu bila kuogopa mzungu kama wao wafanyavyo.
Patrick, unadhani unaweza ku wa reason hao wajinga? they are blinded by hate and Genocide ideology, huwezi ukawareason wakakuelewa. They were defeated militarily and are scattered all over, most of them are in DRC Jungle, but recently their number in Tanzania has been increasing thx to Gen. Bigaruka's Plan facilitated by the Late spy Master. So ukitaka kuwaelimisha inabidi ufanye kazi kwelikweli manake ni akina hambiriki. Wako very Busy wameanzisha Front nyingine ya Key board baada ya sound defeat militarily. Utawakuta humu wanaanzisha topic chungumzima, kila baada ya masaa macheche utakuta Topic mpya ya kumponda Kagame, ya kuponda Watutsi iri mradi wako busy kweli. Mfano humu ndani ya JF Int. Chukua page ya kwanza hadi ya kumi hesabu Topic za namna hiyo, utashangaa nyingine ni kujirudiarudia tu iri mradi wenyewe wanajisikia kama vire wako vitani na wanamshambulia adui yao mkubwa Kagama au Mtusi. but the Guy as he said doesnt give a damn he is busy developing his people while here the likes of JMali, Justdoitnow,Ngongo,Rushasha etc are obsessed with their foolish hate. So an advise " Dont Argue with fools they will drag you down to their level and then beat you with experience"
WaCongo wamekuwa wakiuana hata kabla Kagame hajazaliwa. Suala la mnaojiita watanzania wengi kuikataa Rwanda ni uzushi. Ni lini ilifanyika poll kutoa uamuzi huu. Wengi mnaoichukia Rwanda mnafanya hivyo kwa minajili ya ukabila na chuki dhidi ya Tutsi. Hampendezwi na maendeleo ya Rwanda (ambayo yananufaisha hutu walio wengi) kwa kuwa tu Kagame ni Tutsi. Wakati wa Habyarimana na genge lake la wauaji hamkuwahi kusema lolote kukemea maovu. Leo hii Rwanda ina amani na umoja mko busy mnahaha kutunga na kusambaza uongo. Screw that b.itch Corbin, who cares what the Telegraph says. We do not need some European news outlet to school us on what we know firsthand happen. Watanzania tuache unafiki.
Kaka can you help me ..Mbona naona Kama Hii thread ..imevamiwa na watetezi wataandika ...mambo yasio eleweka...,maneno yamepandiana.
murutongore Commanche Koba MUKAMASIMBA mchambawima1Wewe mbaguzi Wakati wa hybyarimana ...sisi tulisaidia Sana Watutsi ...,wamesoma Shule zetu ...,tumewapa passport zetu ...tumewapa kazi kila mahala ...na wengi tumewapa uraia ...ni kukosa Shukrani ...wapo wengi kwenye Serikali yenu watutsi ..wamezaliwa na kutulia Tanzania ...na mwaka 1994 wengi tukiwapa Baraka warudi kuungana na Kagame ...na wapo waliotoroka ...bila Kuaga ...our country is always siding with the oppressed ..Wakati wa Hyabrimana tuliwatete Watutsi ...,Wakati Congo wanateseka na Mobutu tulimuunga mkono Kabila ...Amekaa hapa miaka yote ..mafunzo ...na hadi Leo hapa ni Kwao ...wana nyumba ...na familia..Joseph kasoma hapa toka kijana mdogo...we can make you ..and ....
Wakati Uganda wanateseka tulitetea wanaoonewa ...Museveni amekuwa hapa kasoma hapa .,kafanya kazi Moshi na Ana Makazi yake kule ...na mapambano ya kijeshi ...tulimpa kambi ( Kagame anajuwa kwakuwa ...alikuwa naye Minziro camp .. )...
Kagame na Caleb ( Salim Saleh ) ..bado wanakumbuka safe house waliyoishi hapa Dar ...
Wakati wa Hyabrimana wakimbizi wengi walikuwa Watutsi ...Sasa imejeuka wakimbizi wengi ni Wahutu ...na wapo kila mahala ..
So this is to tell you that we will always support those under oppression ..that is our foreign policy ...and all those who we have supported have never failed ...bse God is in the side of those in sack clothes.....na msimamo Ndio Huo akiingia mtu akionea wenzake Huyo sio rafiki yetu ...iwe mhutu au Mtutsi au yeyote ...
At one time during his last visit ..of Mwalimu as president to Rwanda ...he said ..that ..Rwanda as a small nation must co- exist in peace inside and with neighbors ...,he saw land as the problem for both Rwanda and Burundi ...If we are in peace ...without any signs of expansionism ...Uganda ,Congo ,and Tanzania can easily absorb ....he even gave a lot of you citizenship and land in dense regions ...and are living comfortably ...recently we absorbed more than 160'000 ..and relocate them ...most of them are children's or ascendants of 62 to 70s Rwanda and Burundi refugees ..both Tutsi and Hutu.....yet Some ------ will say we are jeoulous ? For what ??...we are Tanzanians ..we are Pan Africans ..we are for the Oppressed!!!
I love Paul Kagame.
Those Innocent Children and Women gunned down by RPF soldiers were Genociders, right?. where is your consciousness?Tulia sasa nikupe mkanda, yani wewe mpaka uambiwe na huyo Linda Polman, kumbe wewe ulikuwaujui kuwa hayo mambo yalitokea? Ulikuwa wapi kipindi chote hicho? Picha ikohivi:
Wakati RPF ishakamata nchi sehemu pekee iliyokuwa imebakiailikuwa ni kibeho chini ya usaidizi wa wafaransa, ilikuwa inaitwa (Zone Turquoise)ambayo ilikuwa imeletwa kuwalinda kinaJmali huku wakisingizia eti wamekujakusaidia wakimbizi kipindi hicho! Kipi kilitokea? Waulize wazungu wa Ngo's ndiowanajua RPF ni watu gani.
Wakati kinaJmali walikuwa Kibeho walikuwa wamejichanganya nafamilia zao kama ngao na kuanza michezo yao ya hit and run, basi vijana wetuwaliokuwepo pale wakawaambia wazungu wao tusikilizane hawa watu kamamnavyowaona wamejimix na wanaendelea namaovu yao je tufanyeje? Wazungu wakabaki kuduwaa basi kama kawaida tukawapasiku tatu dawa iwe imepatikana au sivyo tutakabiliana nao kabla maji hayajazidikikombe, kinaJmali walikuwa nasiraha chungu mzima ila walikuwa hawatakikuachana na wakimbizi kwa kuogopa kipondo cha RPF, hizo siku zote tatu wazunguwalikuwa hawana solution na ukweli walikuwa wanauona, basi kama kawaida mjeshimkubwa mmoja akamwambia mzungu waNGOya kwamba kesho tutaanza kazi yetukwa hiyo mjiandae kuandika zile report zenu, kilichofwatia hapo ni history yachanzo cha Amani ndani ya Rwanda!
Sasa wacha nikuulize wewe kama jirani yetu mbona haukuwezakutoa ushauri wako utusaidie kukabiliana na maovu ya Jmali kwa kutumia njiaunayoona ingepaswa kutumika? Saa nyingine msiwe mnalaumu wazungu na wao ni watukama nyinyi kunakipindi wanakosa solution kabisa.
Turudi Congo DRC, hapa sasa ndio ilikuwa balaa maana kina Jmali na serikali yao ya zamani yotewalikuwa wameihamishia kule, kuanzia bank mpaka jeshi kwa kifupi kina Jmaliwalikuwa na serikali ndani ya serikali nyingine! Walipoharibu ni palewalipoanza kumchokonoakamanda Kagame,jamaa kama kawaida yao wakawa wanacross Rwanda kuja kuchoma ma bus, kuvamia shulena vinginevyo, tukamwambia Mobutu kama umeamua kupokea hao wauaji basiwafundishe na adabu akaleta dharau, tenganisha wakimbizi wakihalali na waasiakakataa, basi waamishie mbali ya mpakani hakutaka kusikia, tukaona isiwe tabuwacha tuongee na UN tuwaambie matatizo tunayoyapata, UN nayo kama mnavyoijua haikufanyachochote ingawa walikili Kamba kina Jmali ni janga, wafanyayo siyo ya kibinadamu na lazimasolution ipatikane la sivyo Rwanda itakuwa kama Somalia nyingine! Basi kamakawaida yetu tukaanza kuwahesabia siku , kilichofwatia hapo ndio hii Rwandamnayoisikia leo ya Amani na umoja!
Hao wazungu hawawezi kuacha kuandika report kuhusu kitualicho kiona kwa macho yake ila muulize je mbona ukutowa ushauri wa kilichotakiwakufanyika? Ndugu yangu hao wanoandikahizo report ukiwaweka chini uwaulize maswali watakuambia hawajapata kuona watustrategic kama RPF kwa sababu hawapapaliki kilakitu na wakati wake, wanaanzakwa kuengage wahusika(Dunia) na kama haina solution basi tunawapa yetu wenyewewanapiga makofi baadae. Ndio maana mpaka leo hutasikia mzungu anapeleka kesieti RPF imefanya hivi mara vile, sisi sio genge la wahuni, ukiona tumekufwatabasi tunasababu na lazima tukushinde.
Waafrica tunatakiwa kuacha mambo ya kulialia na kuogopakuchukua majukumu mazito! Matokeo yake ndio yale unayaona Nigeria(Bokoharam)watu wanatekwa kila siku na serikali haifanyi kitu, tazama Somalia nakwingineko, kutochukua maamuzi na kunenuliana ndivyo vinavyofikisha Africa pabovu hivi, tunatakiwa tuanzekutetea interest za nchi zetu bila kuogopa mzungu kama wao wafanyavyo.
I love Paul Kagame.
is he your husband?
Mkuu, kwanza mmetudharirisha kumtukana rais wetu, na ukatili mnaoufanya. Lazima tuingilie mambo ya kwenu. Ngoja tumalize uchaguzi muone. Msilete ambo ya kijingakijinga hapa. Lazima mpigwe makaburu nyie.
Nani? Habyarimana?