Filamu za kibongo na mapenzi

omereyo

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
308
90
Nina shaka wanajf hamjambo!nina mashaka na hizi muvi zetu zenye muelekeo wa imapenzi.eti mbongo akiigiza kalala na mwenzie hawachakahuani tunda la katikati?maana nahisi filamu zetu kwajinsi navyowajua wabongo mmmmh!mapenzi mbele pesa baadaye
 
Yani tyr umeshaenda nje ya makusudio, kwanza unamashaka kama sis hatujambo, pili wabongo mapenzi kwanza pesa baadae, nani amekuambia??
 
Mmmmh! ngoja bongo muvi waje wakujibu,mimi mwenyewe nasubiri majibu!
 
nani kasema?! ...pesa kwanza ...halafu sio kila muigizaji mzinzi
 
Mapenzi una maanisha zinaa??

Movie kibongo zoote wasipoigiza wnakula, wanaigiza wamekaa kwenye makochi wanazungumza, waspofanya hivyo wataigiza wanatembea weeeee dakika kumi, baada ya hapo watalia lia halafu unaambiwa subiri party two

Kuhusu zinaa bado taratibu za idara ya utamaduni na sanaa zinawabana sana japo behind the scene wanadunguana sana tu(rejea ile movie ya Dr Cheni aliyosimamisha mgegedo mwanzo mwisho).
 
Daud omar najua hujambo!ni mbwembwe tu katika kukusabah!haha.mgegedo uliuona umesimama kwenye movie!ww mkali
 
Chips haiwezi kuigiza kuliwa, yaliwa kweli. Si ajabu kwa hili, angalau kwa kiwango cha nyuma ya pazia.
 
Nina shaka wanajf hamjambo!nina mashaka na hizi muvi zetu zenye muelekeo wa imapenzi.eti mbongo akiigiza kalala na mwenzie hawachakahuani tunda la katikati?maana nahisi filamu zetu kwajinsi navyowajua wabongo mmmmh!mapenzi mbele pesa baadaye

mkuu umekosea kidogo hapo ni pesa mbele mapenzi baadae kwa wanawake wengi wa kibongo, ni hayo tu mheshimiwa.
 
si tunachakachuana mazoezini! kwani tukichakachuana lazima tuje kuwaambia ninyi kwamba tunabanduana?
Nalog off
 
Ubunifu muhimu ili kuachana na filamu za mapenzi tu,lakini sio filamu tu hata muziki ni nyimbo za mapenzi kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom