Filamu ya James Bond ikionyesha Land Cruiser Toyota inavyozipa shida na kuziharibu Range Rovers

sawa mkuu,Gari nyingine ya kutembelea ipo mkuu.Hii convertible itakua Ni ya weekend tu.

Napenda adventures Sana na nimeshanunua GO PRO tayari kwa ajili ya tours kwny convertible mkuu.

Poa
Kipendacho roho dawa
Vipi hii
Range
IMG_3189.jpg
 
Duh hizi SUV naonaga wanaziharibu mkuu zikiwa convertible/cabriolet, niliona mpk Murano convertible yaani shape yake imekua mbaya.Nilifanya test drive haikua stable barabarani ikiwa kwny high speed Ina shake sana.

Nafikiri ni kwa sababu ya balance
Mwanzo ni gari ya kawaida ila unaposhusha kuwa nusu hapo ndio tatizo linakuja kwa balance naona

Ndio maana unaona inahama njia au ku shake

Wamezidi na wao sio kila kitu kiwe majaribio na kutafutia Soko
 
Hahah kama sio saloon convertible then SUV convertible haitafaa kabisa mkuu labdz ziwe dizaini za kama wakina Jeep Wrangler hizi zenyewe ziko poa.
 
Hahah kama sio saloon convertible then SUV convertible haitafaa kabisa mkuu labdz ziwe dizaini za kama wakina Jeep Wrangler hizi zenyewe ziko poa.

Jeep nazikubali sana na ninazipenda sana
Yaani kama zimeumbwa ziwe hivyo tu wazi
Kuanzia jeshini nilikuwa mpenzi wa jeep sana
 
Back
Top Bottom