FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

Haya mabadiliko kwenye nchi yanasimamiwa na Mungu mwenyewe, watapanga mambo yao sirini lakini yatawekwa hadharani! Wataendelea kunasa kwenye mitego walio tega wao, Mungu hadhhakiwi! Uwezo wao wa kudanganya tume u outsmart!

.
Afadhali wewe umeliona mkuu. Mabadiliko ya nchi yetu Mungu anasimamia kipengele hichi kwa wasio haki dhidi ya wenye haki Isaya 54:17.
Hakika yake ndimi za hawa wadhalimu katika vyomba vyao vya siri, zitageuzwa kuwa hatia kwa hukumu yao.
.
 
Wewe kazi yako kulalamika tu serikali ina utaratibu wake sio kufuata maneno yenu ya kwenye vijiwe vya pombe...serikali imeanza na huyo polisi wewe unataka wafanyaje sijui.
 
Wewe kazi yako kulalamika tu serikali ina utaratibu wake sio kufuata maneno yenu ya kwenye vijiwe vya pombe...serikali imeanza na huyo polisi wewe unataka wafanyaje sijui.
Arusha walianza na nani? Morogoro sijui iko je.
Inaonekana tunapiga hatua, Yawezekana hata mtuhumiwa halisi wa Dr. Uli akakamatwa!. Lets Pray.
 
Kama Nchimbi hashangai kuuliwa kwa mwadishi kwa bomu bali anaona msg ya Slaa ni tatizo je huoni hilo ni tatizo?

.

Unapo taja jina la huyu mtu nataman ardhi ifunguke nijifiche....watu kama hawa ni janga lingine ikiachilia yale matatu tulio yazoea...watu kwenye seriou issues wanalete jokes
 
Sasa mbona wameiwahi tume? Unamplekeja mtu mahakamani wakati ndiyo kwanza tume iliyoundwa kuchunguza tukio ina siku mbili tu? Watu wengine bwana.
endelea kutetea wauaji ila siku yakimpata ndugu yako wa karibu utajua unachoongea ni pumba!!
 
Mkuu ninakubaliana na hayo......ninachokisema mimi ni namna ambavyo wataalam wetu wanaathirika na mashinikizo ya kisiasa. ni vigumu sana kufanya kazi ya kitaaalam huku kukiwa na wanasiasa pembeni.....kwani wao watataka matokeo ya utaalam wako yalingane na malengo yao ya kisiasa... Kibaya zaidi wanasiasa ndiyo waajiri wa wataalam wetu hivyo wataalamu wetu huwa na wakati mgumu sana katika kufanya maamuzi ya kitaalam na hivyo hujikuta wakiamua kutetea vitumbua vyao zaidi....huu ni mfumo ambao huwafanya wataalam wafungwe mikono yao.... ni zaidi ya changamoto.....na kibaya zaidi hawana wa kuwatetea pindi wanavyopoteza vibarua vyao....... anyway hata wanasiasa nao hufanya hivyo ili kutetea vitumbua vyao visiingie mchanga.
Kuhusu kutoa ushahidi hakuhitaji utaalam sana....... ila jinsi ya kuutumia ushahidi huo ndio utaalam unapohitajika
 
Wewe kazi yako kulalamika tu serikali ina utaratibu wake sio kufuata maneno yenu ya kwenye vijiwe vya pombe...serikali imeanza na huyo polisi wewe unataka wafanyaje sijui.
sio kulalamika tume ni mfumo mwingine wa kutafuna hela ya nchi kaka,utanzaje kukamata na huku unachunguza inamaana we huoni huu ni aina ya ubabaishaji.
 
Kama kweli atakamatwa acha akanyee debe huku waliomtuma wakiponda raha na vimada wao, hata kama atasalimika kimiujiza itakuwa funzo kwake na kwa polisccm wote wasiotumia akili wanapotumwa mabashee wao
 
na mtaalam anayetoka moja kwa moja kwenye utaalam wake huyo hawezi kuitwa mtaalam labda tumwite mbwa koko,kwa sababu kuna wataalam wa kweli hata kama atakuwa analinda kibarua chake lakini taarifa au hilo jambo atakuwa ameliandaa kitaalam na kukwepa baadhi ya mitego ya waliomtuma.
hawa wakwetu ni wanafiki sana na hupenda kujipendekeza ila mwisho wa yote nchi hi ikivugiga halitakuwa jambo la ajabu maana dalili zinaonekana kwa % nyingi sana.
 
Wewe kazi yako kulalamika tu serikali ina utaratibu wake sio kufuata maneno yenu ya kwenye vijiwe vya pombe...serikali imeanza na huyo polisi wewe unataka wafanyaje sijui.

Sisi hatulalamiki tu, pia tunatoa na suluhisho.
Msimamo wa Chama changu na ambao binafsi nauunga mkono kwa silimia zote ni raisi kikwete kuunda tume huru ya uchunguzi kwa mujibu wa sheria. Nchimbi na Mwema ni watuhumiwa wakuu katika kesi hii kwahiyo hawawezi kuunda tume za kuwasaidia kufanya cover up.

Ushauri wa bure kwako jitahidi kupunguza kunywa mataputapu, tena asubuhi asubuhi ili akili yako ipate uwezo wa kutafakari mambo kwa upana wake. Hapa utaratibu wa kisheria ambao serikali ilitakiwa kuufuata umekiukwa na ndipo tunawakumbusha kuzingatia sheria wanapotekeleza majukumu yao.
 
Sasa mbona wameiwahi tume? Unamplekeja mtu mahakamani wakati ndiyo kwanza tume iliyoundwa kuchunguza tukio ina siku mbili tu? Watu wengine bwana.

Tunataka kujua aliyetoa amri ya kuuwa watu kwenye mikutano ya CDM ni nani?
 
Sasa mbona wameiwahi tume? Unamplekeja mtu mahakamani wakati ndiyo kwanza tume iliyoundwa kuchunguza tukio ina siku mbili tu? Watu wengine bwana.

Nani ametoa amri ya kumkamata huyu askari na ikiwa jambo hili lipo katika Tume???

Je, Waziri Nchimbi atangaze kuifuta tume aliyoiunda??

Je, Tendwa akanushe kauli zake kuwa CDM wanahusika na vurugu pia mauaji???

Je, Nepi Na uye atayafuta matapishi yake aliyoyatoa????

Je, Jeshi la Polisi Makao Makuu watafuta kaui yao kuwa Bomu lilirushwa na mmoja ya wafuasi wa CDM???

Je, wanatuhakikishia kuwa ni Polisi ndio walioua???

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…