Siwapendi watu wakimya kabisaa
Ni waoga wa challenge au hawajui kitu au hawajiamini
Siwapendi watu wakimya kabisaa
Mi ni mkimya ila ukinizingua lazima nikupige ngumi na usipoanguka au kuzimia basi ujue we kweli mwanamke.
Siwapendi watu wakimya kabisaa
Mtu mkimya wakati wewe unaongea kwa mdomo yeye anaongea kwa ubongo.
Ndio maana ukiona unaongea na mtu lakini yeye amekaa kimya achana nae.
Wakati wewe unaongea moja mdomoni yeye anawaza na kujibu mara nyingi zaidi kimoyo moyo.
Hivyo usishangea unavyoongea nae ukajua anakusikiliza kumbe yeye anatafuta namana ya kukujibu iwe kwa maneno au vitendo.
Na mbaya zaidi kila unachokiongea hasahau.!
Mkuu,binafsi nimeambiwa mara nyingi sana kwamba najiona,nina kiburi,naringa nk,lakini kutoka moyoni sipo hivyo.Ukimya unatutenga na jamii kiasi fulani.
Mkimya vs Mkelele
I
Wewe sio mkimya una kisirani kinakutembea mwilini ndo kinachokufanya ujione au udhaniwe ni mkimya.! Tena wala si mpole.....!
Huwa mimi wakati mwingine naulizaga kwa ndugu wa karibu, hivi mimi wananichuliaje? Mkimya au mpole? Au nipo seriasi sana? Manake kazini mimi ni mkali sana lakini pia nina huruma sana. Napendaga sana kuwapa ushauri wenye matatizo. Ila mwisho wa siku nashindwa kujielewa why naogopwa na watu wazima,watoto na vijana wenzangu? I don't understand!