Fikra kuhusu watu wakimya

Tz 99% ni wanasiasa sa nani mpole? 1%ni udini anzisha mada ya hivyo vitu 2 kwenye kundi la watz uone nisisahau na mpira
 
Mimi sio mkimya na wala si muongeaji sana.
Halafu kuna watu wanachanganya kati ya ukimya na upole.....jua tofauti

Tusaidie tofauti kati ya mkimya na mpole...mi nadhani mtu anaweza kuwa mkimya na akawa mpole lakini siyo wapole wote ni wakimya na wala siyo wakimya wote ni wapole...
 

Nimecheka sana kwa hii reality!
 
Huwa mimi wakati mwingine naulizaga kwa ndugu wa karibu, hivi mimi wananichuliaje? Mkimya au mpole? Au nipo seriasi sana? Manake kazini mimi ni mkali sana lakini pia nina huruma sana. Napendaga sana kuwapa ushauri wenye matatizo. Ila mwisho wa siku nashindwa kujielewa why naogopwa na watu wazima,watoto na vijana wenzangu? I don't understand!
 

Baadhi ya tabia tunafanana sana,

mimi ile seriousness ndio watu hinoogopa, lkn huwa sipendi kumtania tania mtu, natanianaga, lkn kwa umakini, huwa nafikiria kabla sijatokwa na neno mdomoni.

Nadhani upole ma ukimya ni sawa tu
 

Baadhi ya tabia tunafanana sana,

mimi ile seriousness ndio watu hinoogopa, lkn huwa sipendi kumtania tania mtu, natanianaga, lkn kwa umakini, huwa nafikiria kabla sijatokwa na neno mdomoni.

Nadhani upole ma ukimya ni sawa tu.

Binafsi nikiwa sehem hata ofisn napnda kukaa karb na mkimya sipendi maneno mengi
 

Baadhi ya tabia tunafanana sana,

mimi ile seriousness ndio watu hinoogopa, lkn huwa sipendi kumtania tania mtu, natanianaga, lkn kwa umakini, huwa nafikiria kabla sijatokwa na neno mdomoni.

Nadhani upole ma ukimya ni sawa tu.

Binafsi nikiwa sehem hata ofisn napnda kukaa karb na mkimya sipendi maneno mengi.

Nyumbn pia sipendi maneno mengi, napenda mtu asamarise maneno
 

Mimi ninapenda sana kuwasikiliza watu wacheshi,si boreki na mtu kuzungumza unless akiwa anazungumza porojo. Nina tabia za kuhoji sana tena nikiwa seriasi na mara nyingi wakati nina zungumza ninakuwa makini sana hasahasa ninapokuwa nazungumza na mtu asie msomi. Nipo karibu na jamii sana na wakati huo jamii hiyohyo inanijua kuwa mimi nimesoma kwahyo mara nyingne utasikia jamaa analinga na huwa nachukia sana maneno haya kwakuwa sipo ivo.
 
Kwa sababu jamii hajataka kuwaelewa...muongeaji anatoa kilichopo moyoni haraka sana
 

Mkuu,binafsi nimeambiwa mara nyingi sana kwamba najiona,nina kiburi,naringa nk,lakini kutoka moyoni sipo hivyo.Ukimya unatutenga na jamii kiasi fulani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…