Fikra kuhusu watu wakimya

Mimi sio mkimya na wala si muongeaji sana.
Halafu kuna watu wanachanganya kati ya ukimya na upole.....jua tofauti
 
Mtu mkimya wakati wewe unaongea kwa mdomo yeye anaongea kwa ubongo.

Ndio maana ukiona unaongea na mtu lakini yeye amekaa kimya achana nae.

Wakati wewe unaongea moja mdomoni yeye anawaza na kujibu mara nyingi zaidi kimoyo moyo.

Hivyo usishangea unavyoongea nae ukajua anakusikiliza kumbe yeye anatafuta namana ya kukujibu iwe kwa maneno au vitendo.

Na mbaya zaidi kila unachokiongea hasahau.!
 
I think am in the same group.
 
Na ni wepesi kuchukua maamuzi magumu,hata kutoa mtu roho!siwapendi
 
kumbe jamii ni maroporopo ndio maana waanawachukia wapole
 

Swadakta naona una elimu nzuri sana yaani kama umeotea hayo unenao ni ya kweli kabisa shukran
 
Nilikua jkt kipindi fulani nnilikua mkimya sana watu wengi walijisogeza karibu nakutaka kunijua zaidi wakanizoea wakawa marafiki... Nilipoanza kuzoea mazingira nakuwa mmuongeaji taratibu wakaanza kuniepuka hahahahaha nikagundua nimevuka mipaka toka siku hhiyo nikarudi kkwenye ukimya wangu... Wakaanza kuuliza hee unaumwa hhahaha bora ukimya uupayukaji nomaaaaaa
 
Hapo umenena mm niko hivyo nawatu wananiogopa sana hasa watoto wa kike wanasema nadharau harafu nalinga kwaufupi ctaki matani ya kipuuzi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni waoga wa challenge au hawajui kitu au hawajiamini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…