HIZI FIGISU ZISIKUKATISHE TAMAA, zikufanye usonge mbeleHabari za majukumu wakuu..
Moja kwa moja kwenye mada, haina ubishi kwamba tasnia ya mziki kwa sasa imeendelea sana wote tunashuhudia vijana wanavojituma kusukuma gurudumu la bongo fleva kusogea.. kufanya mziki ni ndoto ya mamilioni ya vijana (nikiwemo mimi) lakini kwa hali ilivo sasa uhalisia ni kua mziki una wenyewe...
Yap digital platforms zimekuwa msaada mkubwa Sana KWA Wasanii chipukizi.Mkuu sasa hivi mnafursa kubwa tumia tu digital hiyo pesa unayotaka kutoa kwenye hizo media wekeza kwenye digital tu japo hutapata matokeo makubwa ila itakupsh sehemu na fanya uploading music wako kwenye streaming sites zote utapiga tu hatua japo ndogo
Kikubwa kabisa wasanii wa bongo mnakosa exposure thus why mnategemea redio kutoka wakati dunia imebadilika kua digital platform kibao za wewe kutoka,,xMarekani wasanii kibao wametoka wenyewe bila connection baada ya kuapload nyimbo zao mitandaoni wakahit menejiment ndio zikawatafuta...mimi nakushauri fanya hivi toa nyimbo ambazo zinaweza kuhit kimataifa achana na kulialia toa migoma ya ukweli then fungua account kwenye platform hizi hapa AWAL,KOBALT,SONGTRAD.com na platinumrecords.llc(hii ndio nakushauri) then tengeneza independent label isajili kwenye hizo platform anza kuuza miziki yako huko wao ndio wataisambaza kwenye platform kubwa duniani kama apple music na soundcloud na wanakata asilimia kadhaa na wewe unapata asilimia kadhaa,mimi ni mdau wa music kuna dogo langu kwa sasa yupo masomoni South africa nilimsaidia hii ishu kwa sasa anakula heHabari za majukumu wakuu..
Moja kwa moja kwenye mada, haina ubishi kwamba tasnia ya mziki kwa sasa imeendelea sana wote tunashuhudia vijana wanavojituma kusukuma gurudumu la bongo fleva kusogea.. kufanya mziki ni ndoto ya mamilioni ya vijana (nikiwemo mimi) lakini kwa
Kikubwa kabisa wasanii wa bongo mnakosa exposure thus why mnategemea redio kutoka wakati dunia imebadilika kua digital platform kibao za wewe kutoka,,xMarekani wasanii kibao wametoka wenyewe bila connection baada ya kuapload nyimbo zao mitandaoni wakahit menejiment ndio zikawatafuta...mimi nakushauri fanya hivi toa nyimbo ambazo zinaweza kuhit kimataifa achana na kulialia toa migoma ya ukweli then fungua account kwenye platform hizi hapa AWAL,KOBALT,SONGTRAD.com na platinumrecords.llc(hii ndio nakushauri) then tengeneza independent label isajili kwenye hizo platform anza kuuza miziki yako huko wao ndio wataisambaza kwenye platform kubwa duniani kama apple music na soundcloud na wanakata asilimia kadhaa na wewe unapata asilimia kadhaa,mimi ni mdau wa music kuna dogo langu kwa sasa yupo masomoni South africa nilimsaidia hii ishu kwa sasa anakula hela kila mwisho wa mwezi na email aliyotumia kusajili kila kitu ni email yangu kwahiyo nashuhudia kila kitu mipunga inavyoingia kwa accounHabari za majukumu wakuu..
Moja kwa moja kwenye mada, haina ubishi kwamba tasnia ya mziki kwa sasa imeendelea sana wote tunashuhudia vijana wanavojituma kusukuma gurudumu la bongo fleva kusogea.. kufanya mziki ni ndoto ya mamilioni ya vijana (nikiwemo mimi)
Ntafanyia kazi haya maelekezo mkuu mana nina nyimbo 8 sijui pa kuzipeleka, big up πͺMkuu sasa hivi mnafursa kubwa tumia tu digital hiyo pesa unayotaka kutoa kwenye hizo media wekeza kwenye digital tu japo hutapata matokeo makubwa ila itakupsh sehemu na fanya uploading music wako kwenye streaming sites zote utapiga tu hatua japo ndogo
Kikubwa kabisa wasanii wa bongo mnakosa exposure thus why mnategemea redio kutoka wakati dunia imebadilika kua digital platform kibao za wewe kutoka,,xMarekani wasanii kibao wametoka wenyewe bila connection baada ya kuapload nyimbo zao mitandaoni wakahit menejiment ndio zikawatafuta...mimi nakushauri fanya hivi toa nyimbo ambazo zinaweza kuhit kimataifa achana na kulialia toa migoma ya ukweli then fungua account kwenye platform hizi hapa AWAL,KOBALT,SONGTRAD.com na platinumrecords.llc(hii ndio nakushauri) then tengeneza independent label isajili kwenye hizo platform anza kuuza miziki yako huko wao ndio wataisambaza kwenye platform kubwa duniani kama apple music na soundcloud na wanakata asilimia kadhaa na wewe unapata asilimia kadhaa,mimi ni mdau wa music kuna dogo langu kwa sasa yupo masomoni South africa nilimsaidia hii ishu kwa sasa anakula hela kila mwisho wa mwezi na email aliyotumia kusajili kila kitu ni email yangu kwahiyo nashuhudia kila kitu mipunga inavyoingia kwa accounView attachment 2325115i
Kweli mkuu exposure ndo kila kitu, ila kingine ili upige hatua ni lazima uwe na team atleast watu watatu nikimaanisha producer, manager wa ku push na mtu wa digital media (photoshoots, social platforms.. etc) kama ulivoelekeza hapa... ku manage digital msanii unaweza ukakaza japo kwa mimi sasa nina side hustle so kujigawa ngumu kidogo ila kufanya yote mwenyewe kuna changamoto mkuu... shukran kwa input yako imeniongezea ufahamu πKikubwa kabisa wasanii wa bongo mnakosa exposure thus why mnategemea redio kutoka wakati dunia imebadilika kua digital platform kibao za wewe kutoka,,xMarekani wasanii kibao wametoka wenyewe bila connection baada ya kuapload nyimbo zao mitandaoni wakahit menejiment ndio zikawatafuta...mimi nakushauri fanya hivi toa nyimbo ambazo zinaweza kuhit kimataifa achana na kulialia toa migoma ya ukweli then fungua account kwenye platform hizi hapa AWAL,KOBALT,SONGTRAD.com na platinumrecords.llc(hii ndio nakushauri) then tengeneza independent label isajili kwenye hizo platform anza kuuza miziki yako huko wao ndio wataisambaza kwenye platform kubwa duniani kama apple music na soundcloud na wanakata asilimia kadhaa na wewe unapata asilimia kadhaa,mimi ni mdau wa music kuna dogo langu kwa sasa yupo masomoni South africa nilimsaidia hii ishu kwa sasa anakula he
Kikubwa kabisa wasanii wa bongo mnakosa exposure thus why mnategemea redio kutoka wakati dunia imebadilika kua digital platform kibao za wewe kutoka,,xMarekani wasanii kibao wametoka wenyewe bila connection baada ya kuapload nyimbo zao mitandaoni wakahit menejiment ndio zikawatafuta...mimi nakushauri fanya hivi toa nyimbo ambazo zinaweza kuhit kimataifa achana na kulialia toa migoma ya ukweli then fungua account kwenye platform hizi hapa AWAL,KOBALT,SONGTRAD.com na platinumrecords.llc(hii ndio nakushauri) then tengeneza independent label isajili kwenye hizo platform anza kuuza miziki yako huko wao ndio wataisambaza kwenye platform kubwa duniani kama apple music na soundcloud na wanakata asilimia kadhaa na wewe unapata asilimia kadhaa,mimi ni mdau wa music kuna dogo langu kwa sasa yupo masomoni South africa nilimsaidia hii ishu kwa sasa anakula hela kila mwisho wa mwezi na email aliyotumia kusajili kila kitu ni email yangu kwahiyo nashuhudia kila kitu mipunga inavyoingia kwa accounView attachment 2325115
Kipindi cha hawavumi lakini wamo kilikua kinanihusu mkuu au sioo [emoji16]
Bongo sahv kila kijana anataka awe mkata mauno,msanii
Ova
PAMOJA SANAShukran mkuu, ubarikiwe π