Hata Simba walisema wataifunga Mgambo Shooting, kilichotokea tunajua wote. Mlisema kamwe Okwi hatacheza Yanga, sasa karuhusiwa. Hans papa alisema Okwi atacheza Mtani Jembe pekee, sasa atakipiga kwenye ligi hadi CAF. Kwa mara nyingine Rage et al. wameaibika tena; hiki ndicho kiini cha furaha yetu! Yanga oyee na Simba zii.
Hamna Timu Iliyowahi Kuchukua Pointi Tatu Pale Mbeya
Sisi Ndio Tutakuwa Wa Kwanza Na Wa Mwisho Ndani Ya Msimu Huu