The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Huyu Bin Kleb anastahili kupewa shahada ya uzamivu ya heshima katika fitina za soka (honoris causa, PhD). Hajawahi kuinyong'onyesha Yanga zaidi ya kuwaliza Simba kila mwaka.
Soma barua hii kwa makini sana Mr Makoye,
Kisha tuambie wapi FIFA wamemruhusu Okwi kucheza yanga!
Huu ushabiki wa kijingajinga ndo unapelekea soka yetu haendi mbele...!
Mnaboa.