FIFA yamuidhinisha Okwi kuichezea Young African

Simba ilipata chake au wajanja ndani ya Simba walipata chao? Wanaolalamikia Okwi kwenda Yanga bila ya kupata chao ni Simba au wajanja ndani ya Simba?

ndugu kuna nyepesinyepesi kuwa rage alikula hela, usiombe ukaongozwa na mwanasiasa. Rage sio mjinga kiasi hicho!
 
niliwahi kuwa shabiki sana wa soka la bongo,ila nilikuja kuachana kabisa na ushabiki wa kijinga wa yanga na simba baada ya kujitambua,klabu zinaendeshwa kiswahili mno hizi na hakuna kabisa professionalism,siku hzi hata siku simba na yanga zikicheza mechi huwa sina habari kabisa,

mkataa kwao mtumwa! Toa utumbo wako hapa
 
ndugu kuna nyepesinyepesi kuwa rage alikula hela, usiombe ukaongozwa na mwanasiasa. Rage sio mjinga kiasi hicho!
Mimi nina mashaka hilo jina ulilolitaja limekusudiwa kwa maana ya Kiingerez (anger, temper, fury) yaani usongo. Ana usongo wa kujinufaisha kwa kupitia medani yoyote iwayo. Sisi tunadhani na kulichkulia Kiswahili, ambacho hakina tafsiri yoyote nalo. Sijui kwa Kisomali.
 
imewisha duu kweli rage ni noma sana..

Mkuu ndetichia nakuheshimu sana, nawe jiheshimu pia. Ni mtumiaji gani wa computer asiyejua typing error? Hilo neno linatakiwa liwe 'imekwisha', je kukosekana kwa 'k' ni jambo la kushikiwa bango na JF SEM kama wewe? Heshima hainunuliwi Mkuu, ni kitu cha bure.
 
Last edited by a moderator:

usikonde mkuu nilikuwa na kukumbusha tu mkuu wangu ndio jf hii mkuu..
 
Pamoja Mkuu. Nimehamia Mbeya City kwa mkopo, nitarejea Yanga baada ya kumnyamazisha mnyama ndani ya masaa ishirini na manne yajayo kuanzia saa 1 jioni iliyopita.
 
Tupo wote mkuu, kwa hili mkuu mandieta lazima atusamehe, mnyama sisi tunataka afe, tena kifo kibaya sana!
 
Last edited by a moderator:
Tupo wote mkuu, kwa hili mkuu mandieta lazima atusamehe, mnyama sisi tunataka afe, tena kifo kibaya sana!
Hahahahahaha.
Mkuu mie nimesajiliwa Simba kwa mkopo kwa ajiri ya kuiua Mbeya city,jioni baada ya mechi narudi zangu nyumba(jangwani)
 
Last edited by a moderator:
Tupo wote mkuu, kwa hili mkuu mandieta lazima atusamehe, mnyama sisi tunataka afe, tena kifo kibaya sana!
Kama mtizamaji kwenye hili, nawasihi sana msimwombee mabaya mnyama hadi kufariki. Hivi ungefurahi, mathalani, ubingwa kuchukuliwa na MCC iwapo hautaenda Jangwani? Nilidhani watu wazima wabaki wakipokezana ubingwa ili kuudhibiti usende kwa watoto. Lonapokuja la wao kwa wao, sawa. Lakini nje ya wao, ni wao kwanza!
 
Mechi kama hii ya Mnyama na MCC ndo mechi za Mwegane Yeya...twende kazi Mwl wangu,muda c mrefu wataelewa tofauti pekee iliyopo kati ya Julio na Loga ni rangi tu..
 
Sasa huo ni unafiki mkubwa tena uliopitiliza, sasa humu umefikaje kwan hukuona thread nyingine? Nin kilichokuvutia hadi ukafungua hii post kama huwa hauna habari na soka la bongo? Na je kwan nilazima kushabikia simba na yanga as if bongo kuna timu mbili tu au umeandika uonekane we ni mstaarab na kwamba wengine wote waliobakia humu ni makazuzu..acha u**f**la..shame on you

Ni kweli kabisa hii mitimu miwili ndio maadui wa soka la bongo
 
mkataa kwao mtumwa! Toa utumbo wako hapa

Mkuu Mponjori

Mbona unanilazmisha kufanya kama nyie mnavyofanya?

Endelea kushabikia ndondo hapo! Dunia ya sasa soka linaendeshwa kiprofesheno! ndo maana tunataka profeshenolizim!

Jiulize tu.ushawahi kuona wapi mchezaji anauzwa bila kutafutwa mbadala wake?

Ushawahi kuona wapi mchezaji anasajiliwa kimagumashi mpaka watu wakaulize tena FIFA kama mchezaji yupo eligible kuchezea timu mpya zaidi ya BONGO?

mpira wetu unaendeshwa kiswahili sana na kushabikiwa kiswahili vilevile,

Atleast AZAM wanajitahidi,lakini wanajikuta mulemule kwa wakongwe!

Soka la bongo Linaboa! huu ndio ukweli...

Na hawa wapumbavu wawili(simba na yanga) wametupa timu ya taifa dhaifu muda wote,

Naipenda sana Taifa stars,ila siioni ikifanikiwa hivi karibuni kwa sababu ya timu hizi mbili kongwe!

Kwangu mimi,kwa sasa nitaendelea kushabikia ligi za ulaya! na timu yangu ya Taifa japokuwa inaniumiza daily,nitafanyaje sasa ,ndio timu ya taifa langu nilipendalo...TANGANYIKA.

Stay blassed Mkuu!
The Magnificent

Ubungo,Dsm...
 
utapendaje mchuzi bila ya kuipenda nyama iliyopikiwa huo mchuzi?
 
Ni uzalendo tu!

Tanzania ndio taifa langu,na naipenda si kwa vile wanajua maana ya mpira na misingi yake,hapana...

Ni kwa sababu tu,ndio timu yangu ya Taifa! UZALENDO kwanza!

Karibu.
 
Hiyo ligi kuu, hizo Yanga na Simba, ndio sehemu ya Tanzania unayosema unaipenda. Ukipenda boga, upende na uwa lake!
 
Back
Top Bottom