FIFA yamuidhinisha Okwi kuichezea Young African

FIFA yamuidhinisha Okwi kuichezea Young African

Hakuna cha kushangaza kwa TFFYANGA hii, na bado mengi ya ajabu tutayaona kwa nguvu ya pesa ya G@bacholi fisadi la EPA.

Ametumia pesa nyingi sana kuhalalisha uongozi wake ndani ya Yanga "at least" akubalike na awasahaulishe vipigo vya aibu Yanga inavyopata kutoka kwa Simba SC katika kipindi cha Uongozi wake. Ametangaza kujiuzulu mwaka huu si kwa kupenda ameona hasara anayoipata kiuchumi ni kubwa kuliko faida. Ngoja aondoke kama mtaendelea kuhonga hadi FIFA tena.

Mkuu vipi, haya ni maamuzi ya FIFA, TFF inaingiaje hapa? Au jamaa kapenyeza fedha hadi FIFA?
 
Mkuu vipi, haya ni maamuzi ya FIFA, TFF inaingiaje hapa? Au jamaa kapenyeza fedha hadi FIFA?
Mkuu katika dunia ya leo hakuna linaloshindikana chini ya jua. Nini FIFA hata nabii Issa Bin Mariam aliuzwa kwa vipande 30 vya pesa.
 
Mkuu katika dunia ya leo hakuna linaloshindikana chini ya jua. Nini FIFA hata nabii Issa Bin Mariam aliuzwa kwa vipande 30 vya pesa.

Basi Mdosi wetu ni hatari kama hata FIFA wanafahamu 'muziki' wake! Aishi maisha marefu aisee.
 
Mbona sio kitu cha ajabu jamani, mnataka watu watucheke kwamba hatujui hesabu? Kama timu imesajili wachezaji 30, na uwanjani wanaingia wachezaji 11, ukigawanya hapo 30 ÷ 11 = 2 baki 8, kulikuwa kuna haja ya kushangaa kwamba timu ina vikosi viwili?
hapa tunaongelea wachezaji wote wanaweza kuwa first eleven!timu zingine akiumia mmoja wanajiuliza acheze nani japo wako 30
 
1. Dida / Barthez
2. Juma Abdul
3. Oscar Joshua
4. Rajab Zahir
5. Reliants Lusajo
6. Athuman Idd Chuji
7. Simon Msuva
8. Hassan Dilunga
9. Jerson Tegete
10. Said Bahanunzi
11. Hamis Kiiza

Hapo bado sijamuweka Nizar na Hamis Thabit

kumbe tuna timu mbili ndani ya 1

Kama kweli kuna timu mbili, basi siku moja kikosi hiki juu kijaribiwe kucheza na mnyama, ha ha haa! Watu watadondoka wengi sana na ambulance zitakuwa bize! Chezea goli tano wewe!
 
Hivi hii nayo ni habari ya kuwatoa povu humu jukwaani, au ndo kukosa la kufanya?!
Kaondoka Samatta, itakuwa Okwi?!
 
Umeonaeeeehh. Muziki utasikika siku akiondoka.

Hata hivyo Mkuu unajua chama langu la Yanga limekuwepo hata kabla yangu, wewe na hata 'mdosi' hatujazaliwa? Chama limeishi bila 'mdosi' kwa muda mrefu tu; vivyo hivyo chama litaishi hata bila 'mdosi'. Unamkumbuka rais wa Yanga AG, nani kama yeye? Yuko somewhere akisubiri resurrection (Let him RIP) na chama liko duniani likibamiza watu 7-0 au unasemaje mkuu?
 
Hivi hii nayo ni habari ya kuwatoa povu humu jukwaani, au ndo kukosa la kufanya?!
Kaondoka Samatta, itakuwa Okwi?!

Samatta alipoondoka, Simba ilipata chake halafu akaenda zake TP Mazembe. Kinachowauma hapa ni Simba haijapata chochote halafu Okwi kaenda Yanga, duu kwa hili Msomali hajalala.
 
[h=1]PAMOJA NA USHINDI MNONO WA GOLI 7-0 DHIDI YA WACOMORO BADO YANGA HAIPASWI KUSIFIWA.[/h]http://bongospoti.com/pamoja-na-ushindi-mnono-wa-goli-7-0-dhidi-ya-wacomoro-bado-yanga-haipaswi-kusifiwa/
 
Samatta alipoondoka, Simba ilipata chake halafu akaenda zake TP Mazembe. Kinachowauma hapa ni Simba haijapata chochote halafu Okwi kaenda Yanga, duu kwa hili Msomali hajalala.
Simba ilipata chake au wajanja ndani ya Simba walipata chao? Wanaolalamikia Okwi kwenda Yanga bila ya kupata chao ni Simba au wajanja ndani ya Simba?
 
Hata hivyo Mkuu unajua chama langu la Yanga limekuwepo hata kabla yangu, wewe na hata 'mdosi' hatujazaliwa? Chama limeishi bila 'mdosi' kwa muda mrefu tu; vivyo hivyo chama litaishi hata bila 'mdosi'. Unamkumbuka rais wa Yanga AG, nani kama yeye? Yuko somewhere akisubiri resurrection (Let him RIP) na chama liko duniani likibamiza watu 7-0 au unasemaje mkuu?
Mkuu umenikumbusha yule G@b@choli aliyefariki ghafla kwa presha bada ya kontena lake la sembe kukamatwa. Hapana chezea pesa ya sembe hata marehemu Pepe kale alizionja kidogo na kumtungia wimbo.

Hata hivyo Yanga ina bahati ya wafadhili wauza sembe...
 
Kama kweli kuna timu mbili, basi siku moja kikosi hiki juu kijaribiwe kucheza na mnyama, ha ha haa! Watu watadondoka wengi sana na ambulance zitakuwa bize! Chezea goli tano wewe!
wewe ya kale hayanuki hata yakinyeshewa na mvua bado hayanuki!
 
Sasa huo ni unafiki mkubwa tena uliopitiliza, sasa humu umefikaje kwan hukuona thread nyingine? Nin kilichokuvutia hadi ukafungua hii post kama huwa hauna habari na soka la bongo? Na je kwan nilazima kushabikia simba na yanga as if bongo kuna timu mbili tu au umeandika uonekane we ni mstaarab na kwamba wengine wote waliobakia humu ni makazuzu..acha u**f**la..shame on you

Duh!

Shule muhimu sana ndugu yangu,najua "You could have written better than this"
Ahsante!
 
Back
Top Bottom