Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,914
- 10,273
Huyu tajiri wa yanga ataua mpira nchi hii. Yeye akili yote kuimaliza Simba tu.
Ameimalizaji Simba? Anaimaliza Simba ni nyie wanasimba wenyewe haiwezekani mwenyekiti wenu anafanya upuuzi kila siku na nyie mnamwangalia