Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,028
- 16,150
leo lazima awakimbie!hana la kusema nao tena!Rage sijui atasemaje leo
leo lazima awakimbie!hana la kusema nao tena!Rage sijui atasemaje leo
okwi hakuwa simba lakiniHuyu tajiri wa yanga ataua mpira nchi hii. Yeye akili yote kuimaliza Simba tu.
Sitaenda uwanjani kwa sababu ya majukumu lakini nitafuatilia kwenye TV, radio, JF mwanzo mwisho.Sijui utakuwepo Uwanja wa Taifaaa!? Naomba uwepo.
Sitaenda uwanjani kwa sababu ya majukumu lakini nitafuatilia kwenye TV, radio, JF mwanzo mwisho.
Mkuu kesho tuna uhakika wa kushinda, tutakachofanya ni kukamata kiungo chenu tu na kumwacha Okwi akikimbia kimbia bila kupata mipira, tutahakikisha Niyonzima hapigi penetration pass hata moja, kwa backward pass na square pass hazitakuwa na madhara sana kwetu na ndo atakazopiga nyingi, tumemwandaa Jonas Mkude kuvuruga mipango yote ya kiungo yeyote atakayecheza dimba la juu awe ni Dilunga, Niyonzima au Domayo maana Mkude uwezo huo anao.Pole sana Mkuu. Ukienda uwanjani unaweza kuzimia, afadhali ukae nyumbani tu.
....kwa lipi!!!....kama kweli Okwi ataidhinishwa kucheza Yanga litakua ni jambo la kawaida saana; na wala msitarajie kuwa Simba itayumba tena-tayari imeisha jipanga, subiria tu kupokea mvua nyingine ya magoli.
Pole sana Mkuu. Ukienda uwanjani unaweza kuzimia, afadhali ukae nyumbani tu.
Mkuu kesho tuna uhakika wa kushinda, tutakachofanya ni kukamata kiungo chenu tu na kumwacha Okwi akikimbia kimbia bila kupata mipira, tutahakikisha Niyonzima hapigi penetration pass hata moja, kwa backward pass na square pass hazitakuwa na madhara sana kwetu na ndo atakazopiga nyingi, tumemwandaa Jonas Mkude kuvuruga mipango yote ya kiungo yeyote atakayecheza dimba la juu awe ni Dilunga, Niyonzima au Domayo maana Mkude uwezo huo anao.
Tumewaambia Uhuru Selemani, Henry Joseph, Amri Kiemba, Ramadhani Chombo, Haruna Shamte, Joseph Owino na Said Chollo watumie uzoefu wao wa mechi za watani kumaliza kazi ndani ya dakika 30 za kwanza.
Tumewaambia vijana wetu Singano, Christopher Edward, Haruna Chanongo, Said Ndemla na William Lucian endapo watapata nafasi ya kucheza wasihold sana mipira ili wasije wakaumizwa na kulazimisha unplanned substitution.

Mkuu nimesema uwanjani sitaenda kwa sababu ya majukumu ambayo ni muhimu sana kwa ustawi wangu pamoja na familia yangu, nitamwambia Lunyamila aniwakilishe ingawa ni wa upande wa pili.Kama una 'confo' tukutne uwanjai, mie nitakuwepo.