Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,463
sasa anamtaka Kapombe
kweli klabu ni Azam, Yanga ni kilabu
Akimaliza kumchukua huyo Kapombe, basi anunue kabisa lile jengo ili aweke kitega uchumi chake.
sasa anamtaka Kapombe
kweli klabu ni Azam, Yanga ni kilabu
kamanda pole sana muulize msomali pesa imeenda wapi??? kwani uwezi kuuza gari kwa mkopo na kadi ya gari ukatoa!!
mwenye macho aambiwi tanzama muulize msomali kala na nani pesa?
pili huyu kipukuswa kazi yake ni kukamata paka wa uchawi siku izi hana soko alie kua akimtumia ni kasim sasa msomali ana wataalam wake huyu kamdump
maelezo zaid utayapata kijiweni
mbona link ni ile ile ya MTN na FUFA, naomba utuwekee LINK ya FIFA ikionyesha kikao kilikaa na lini na barua rasmi inayoonyesha kuwa wamemruhusu la sivyo utakuwa unapiga bra bra zile zile za kaka yake KIIZA HAMISI kujifanya ni mtendaji wa FUFA
namchukia rage lakini kwa hili naona anafanyiwa uhuni..
dua la kukummepewa mamlaka zote..............na mmezishikilia mkononi mwenu, lakn mkumbuke kila zama na kitabu chake
Rage mwehu kweli.
Habari hii siyo breaking News ni ya zamani
Huyu tajiri wa yanga ataua mpira nchi hii. Yeye akili yote kuimaliza Simba tu.
Kweli mkuu umeongea point.Ndio maana mpira wetu hautakuja kuendelea kamwe kwani usajiri wetu ni kutafuta sifa tu tena kukomoana bila kuangalia mahitaji ya kocha.
Huyu tajiri wa yanga ataua mpira nchi hii. Yeye akili yote kuimaliza Simba tu.
mmepewa mamlaka zote..............na mmezishikilia mkononi mwenu, lakn mkumbuke kila zama na kitabu chake
Nipo Mkuu, Okwi kawasili jioni hii, mwenye wivu ajinyonge!
Halafu baada ya dakika 90, Simba 2-0 Yanga.
CCM bwana!
nawasalim ndugu wanaspoti wote wa jf,salam zaidi zizidi kwa wanayanga
....kwa lipi!!!....kama kweli Okwi ataidhinishwa kucheza Yanga litakua ni jambo la kawaida saana; na wala msitarajie kuwa Simba itayumba tena-tayari imeisha jipanga, subiria tu kupokea mvua nyingine ya magoli.Tena wajinyonge hadharani ili tupate idadi kamili.
....kwa lipi!!!....kama kweli Okwi ataidhinishwa kucheza Yanga litakua ni jambo la kawaida saana; na wala msitarajie kuwa Simba itayumba tena-tayari imeisha jipanga, subiria tu kupokea mvua nyingine ya magoli.
....tuite majina yoyote mnayotaka ata hilo la MIKIA sawa, lakini mkumbuke ili muonekane Bingwa wa Soka ni mpaka mpambane na kushinda timu iliyo-Bora na wakati huohuo timu yenu ikiwa bora; sisi Simba hilo tunalijua hatutaangalia cha kuwa na Okwi, Yondani, Kaseja, Ngasa, Chuji na wala majina hayo makubwa yanayowanyima usingizi tutaendelea kukaza tu na mtashangaa-----Yanga sasa hivi ni kama ilivyo Chelsea majina makubwa ya akina Etoo, Torres na Essiene lakini bado inakimbizwa na SunderlandNi vizuri sana kijifariji hata kama hakuna matumaini ..na nivibaya sana kujivunja moyo we mwenyewe ili hali hali halisi unaiona..ni kama daktari kumpa moyo mgonjwa wake kua atapona huku akijua fika kabisa inahitaji muujiza wa upendeleo kwa mgonjwa kuendelea kuishi ndo nyie mikia(simba) mnavyojipa moyi..sizitaki mbichi hizi sungura alikisemea baada ya kushindwa kuzifikia ndizi
....tuite majina yoyote mnayotaka ata hilo la MIKIA sawa, lakini mkumbuke ili muonekane Bingwa wa Soka ni mpaka mpambane na kushinda timu iliyo-Bora na wakati huohuo timu yenu ikiwa bora; sisi Simba hilo tunalijua hatutaangalia cha kuwa na Okwi, Yondani, Kaseja, Ngasa, Chuji na wala majina hayo makubwa yanayowanyima usingizi tutaendelea kukaza tu na mtashangaa-----Yanga sasa hivi ni kama ilivyo Chelsea majina makubwa ya akina Etoo, Torres na Essiene lakini bado inakimbizwa na Sunderland