Hebu acheni unafiki. Yule mama wa Kisimkazi ni mwanachama, mbona unakimbilia kuchokonoa vya mbali wakati vya karibu unaacha?Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri
Kabisa mpaka telegram huko zile animated emojis ukiziclick zina animate with upinde's colors and some maneuvered animationsHaya mambo yametuzidia
Jamaa amechagua ugali dagaa kwenye Amani 😂😂Wanatukosea sana wapenda soka.
View attachment 3012232
Kuliko biriani kwenye vita 😂Jamaa amechagua ugali dagaa kwenye Amani 😂😂
Ila ni upumbavu na upuuzi kuwaachia jamaa kutamba na rainbow kitu ambacho ni universe na zawadi kwa watu wote.Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri.
View attachment 3012209
Mkuu telegram ni ya warusi, duh nao ni upinde 😯😯😯Kabisa mpaka telegram huko zile animated emojis ukiziclick zina animate with upinde's colors and some maneuvered animations