ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Wakuu msaada please!!!
1/Mechi ya Fainali ni saa ngapi?
2/Je, Kuna kituo chochote cha tv kupitia King'amuzi cha Startimes kitaonyesha fainali ya Brazil na Spain leo usiku?
Please mwenye kujua anijuze faster.
hakuna ila gemu ya fainali ni saa saba leo usiku ambayo ni kesho..