teh teh teh,kaka acha tu yaani ilikuwa majonzi sikutegemea kabisa kama tungefungwa na Brazil hii,kweli niliwadharau,ila nawapongeza wameweza kuutumia vizuri uenyeji wao,wakiendelea hivi wanaweza kubeba kombe la dunia mwakani,ila yote 9 kumi ningekuwa rais wa chama cha soka Spain ningeomba mechi nyingine nao uwanja usio na mwenyewe nione je kweli wanawaweza Spain,kwa sasa binafsi naamini uenyeji uliwasaidia kiasi fulani na bao la harakaharaka sprit kutoka kwa mashabiki,ila nimekubali kipigo kitakatifu kiasi kwamba sikuwa na furaha kabisa,mara ya mwisho ni pale Tyson alipopigwa na Evender nilikosa raha,na hii binafsi niliadimika hata kwa wapinzani,sina la kusema ila obrigado Brazil,na Neymar nilimkubali mechi ya j2,na kingine nikakumbuka miaka 11 iliyopita tarehe na siku ya j2 kule Yokohama Japan final world cup Brazil chini ya Scolari ilimfunga German 2-0 Ronaldo tarehe 30/06-2002 kwahiyo ni miaka 11 net,historia inamfuata mkondo wake,hongereni sana kwa Spain na cc wanazi wake hatuna usemi zaidi ya Spain we are in pain.:becky: