kuanzia leo Pirlo ana miaka 23
Bonucci toka lini akapiga penalty?
Bonucci toka lini akapiga penalty?
Tatizo la Italy hawana striker mfungaji siku hizi
nimeshangaa na mie.makocha wa Italy huwa wana negligence ya ajabu.tumeshindwa kumfunga spain ndani ya dk 120.hilo ndio tatizo!kwa nini tukose magoli?hili ndio swali Prandelli aondoke nalo.
Mi naisubiri kwa hamu hiyo fainal...Lakini kumbuka the best penalty takers walikuwa wameshaisha.
Poleni lakini kwa sie neutral the best final ni Brazil v Spain.
Na hii fainali itakuwa ni warm up kwa ajili ya fainali ya ukweli hapo mwakani.
Tatizo la Italy hawana striker mfungaji siku hizi
Baloteli bado hajakomaa kumbuka alikuwepo kwenye EURO walivyofungwa Span,Marcelo Lipppi wakati wa World Cup alienda na washambuliaji 6 waliokomaa (Del Piero,Luca Toni,Vicenzo Iaquinta,Francesco Totti,Pipo Inzhaghi na Gilardino)watu walimshangaa lakini kila mshambuliaji alifunga goli.Italy ni timu ambayo hawahitaji kutengeneza nafasi nyingi washinde wanaweza pata nafasi moja na wakashindaMbona wanaye Balotelli tatizo hakuwepo jana...:sick:
wacha kujidanganya,hata kwa kurusha sarafu Spain noma wanatisha kwa sasa lazima mkubali.pamoja kabisa mkuu.angekuwepo tusingefika penati!
kaka nadhani ulisahau 2008 euro italy alifungwa ktk matuta robo final na Spain,yani hata ktk kurusha sarafu kichwa au mwenge usichezee Spain wanatishaMkuu muda uliobaki unataka uzoefu tu, warogwe wafike kwenye matuta!