Mabingwa wa soka duniani,ulaya namba 1 ya soka duniani kwa sasa Spain leo au j3 TZ wanajitupa estadio Maracana vs timu inayojivunia historia na uenyeji tu Brazil ktk final ya kombe la mabara leo,ikiwa na wachezaji na kocha wasio na rekodi ya kupoteza mechi ktk final eg Casillas,Torres,Iniesta,Xavi,Busquets,Pique na kocha Del Bosque nawapa 98% kubeba kombe leo huku Brazil nikiwapa 2% tena 7bu ya uenyeji,1st eleven wengi wa Brazil ni sawa na 2nd eleven ya Spain kiuwezo,eg Oscar(1st eleven Brazil) ni sawa na Mata(2nd eleven Spain),Gustavo ni sawa na Martinez,Marcelo ni sawa na Nacho Monreal,Julio Cesar ni sawa na Pepe Reina huku tegemeo lao mweny nyodo ambae natabiri kama hatobadilika nadhani akifika miaka 25 hata Reading wanaweza kumweka bench au kuuzwa kwa mkopo Ugiriki huyu ni Neymar nadhani akija FC Barcelona tajifunza mengi maana wamepita mastaa waliowika ktk vilabu mbalimbali lakini walivyofika FC Barcelona wakaonekana bado eg Zlatan,Petit,Overmars na Henry,ndio nashanga binafsi bado sijamkubali wala kumkataa Neyma ila bado hajafika uwezo wa Messi,na wachezaji wengi Brazil vilabu wanavyochezea ni vidogo tofauti na wachezaji wa Spain wengi ndio maana nawapa nafasi Spain,Brazil n uenyeji tu,hata mechi ipigwe CCM Msasani Spain anashinda.