Spain walimfunga ngapi Buffon tena kwa dk 120?hivi tv yako ni inchi ngapi?uvae ile miwani ya 3d ikusaidie kukuza picha kidogo!ngoja nikaendeshe kampeni kule jukwaa la siasa ili viroba vipigwe ban!vinasababisha macho ya mtumiaji yafunguke nusu nusu,matokeo yake haoni sawa sawa na kuanza kubwabwaja tuu bwabwaja tuu nonsense!uyu buffon dawa yake spain
Mabingwa wa soka duniani,ulaya namba 1 ya soka duniani kwa sasa Spain leo au j3 TZ wanajitupa estadio Maracana vs timu inayojivunia historia na uenyeji tu Brazil ktk final ya kombe la mabara leo,ikiwa na wachezaji na kocha wasio na rekodi ya kupoteza mechi ktk final eg Casillas,Torres,Iniesta,Xavi,Busquets,Pique na kocha Del Bosque nawapa 98% kubeba kombe leo huku Brazil nikiwapa 2% tena 7bu ya uenyeji,1st eleven wengi wa Brazil ni sawa na 2nd eleven ya Spain kiuwezo,eg Oscar(1st eleven Brazil) ni sawa na Mata(2nd eleven Spain),Gustavo ni sawa na Martinez,Marcelo ni sawa na Nacho Monreal,Julio Cesar ni sawa na Pepe Reina huku tegemeo lao mweny nyodo ambae natabiri kama hatobadilika nadhani akifika miaka 25 hata Reading wanaweza kumweka bench au kuuzwa kwa mkopo Ugiriki huyu ni Neymar nadhani akija FC Barcelona tajifunza mengi maana wamepita mastaa waliowika ktk vilabu mbalimbali lakini walivyofika FC Barcelona wakaonekana bado eg Zlatan,Petit,Overmars na Henry,ndio nashanga binafsi bado sijamkubali wala kumkataa Neyma ila bado hajafika uwezo wa Messi,na wachezaji wengi Brazil vilabu wanavyochezea ni vidogo tofauti na wachezaji wa Spain wengi ndio maana nawapa nafasi Spain,Brazil n uenyeji tu,hata mechi ipigwe CCM Msasani Spain anashinda.
Spain walimfunga ngapi Buffon tena kwa dk 120?hivi tv yako ni inchi ngapi?uvae ile miwani ya 3d ikusaidie kukuza picha kidogo!ngoja nikaendeshe kampeni kule jukwaa la siasa ili viroba vipigwe ban!vinasababisha macho ya mtumiaji yafunguke nusu nusu,matokeo yake haoni sawa sawa na kuanza kubwabwaja tuu bwabwaja tuu nonsense!
Spain leo kama wamelewa ulanzi
Ni Argentina, Mexico au German ndio wanaweza kuwazuia Brazil 2014.
Brazil atapigwa mapema tu, hata Penalty hafiki,
kabisa! Alikuwa hajui anachoandika.huu ni uwenda-azimu!!
Nakutaka radhi kwa kutumia jina la pombe ya Ulanzi, kwa usahihi niseme Spain walikuwa kama wamelewa chimpumu au Pingu.tutake radhi aseee,yani spain nje?
Spain walimfunga ngapi Buffon tena kwa dk 120?hivi tv yako ni inchi ngapi?uvae ile miwani ya 3d ikusaidie kukuza picha kidogo!ngoja nikaendeshe kampeni kule jukwaa la siasa ili viroba vipigwe ban!vinasababisha macho ya mtumiaji yafunguke nusu nusu,matokeo yake haoni sawa sawa na kuanza kubwabwaja tuu bwabwaja tuu nonsense!
punguza kiherehere unakuwa kama baamadi kaona castle lite, inamaana ukuona spain walivyokuwa wanamtungua kwenye matuta? Na mimi nilikuwa nazungumzia matuta, punguza wenge
punguza kiherehere unakuwa kama baamadi kaona castle lite, inamaana ukuona spain walivyokuwa wanamtungua kwenye matuta? Na mimi nilikuwa nazungumzia matuta, punguza wenge
Jamani brave one aliona golikipa mmoja tu akifungwa penati siku ile,Buffon,bhaas!nikiitaja sababu kwa nini macho yako hayakumuona golikipa wa Spain siku ile utanitukana tena,ngoja nikae kimyaa niache wenge!
..........***Kipindi chenu chawapeni pole, kina dada twawapeni pole, wote tunawapa polee, mliopigwa BAO tatu tunawapa pole****......
ha ha haaa!twende kazi mkuu..brave one tunakupa polee..tilili tiliii..ta la la,aisee Mourinho unajua kuimbaa!
Jamani brave one aliona golikipa mmoja tu akifungwa penati siku ile,Buffon,bhaas!nikiitaja sababu kwa nini macho yako hayakumuona golikipa wa Spain siku ile utanitukana tena,ngoja nikae kimyaa niache wenge!
Mkuu, huyo bwa mdogo bado anaugulia maumivu ya LIBOLOZIL, akipona atajua kuwa alikosea, sisi tuendelee tu kuwaimbia kale kawimbo!
ha ha haaa!twende kazi mkuu..brave one tunakupa polee..tilili tiliii..ta la la,aisee Mourinho unajua kuimbaa!
hahaha mimi timu yangu taifa stars uku kwingine mbwembwe 2, alaf iyo mistari haina vina wala mtiriliko kuimba hujui, rudini kule kwenye jukwaa lenu la siasa mkapige soga