FIFA Confederations Cup Brazil 2013

FIFA Confederations Cup Brazil 2013

Anatoka mshambuliaji anaingia mkabaji upande wa Spain, hii inaonesha namna gani vilivyoelemewa hivi vijamaa, mpaka vinatia huruma!

Chezea Buluda!!!!
 
Tunapoteza mipira sana mbele.hii inachosha kiungo kwa kazi ya kupanda na kushuka haraka na kuleta constant presha kwenye defence.sijui tutaweza kuabsorb hii presha hadi saa ngapi bila kufanya kosa la kijinga na kupoteza concentration!tuache hii kitu.tucheze kama mwanzo.
 
Mkuu muda uliobaki unataka uzoefu tu, warogwe wafike kwenye matuta!
 
Spain wamepoteza nafasi nyingi mwishoni hii ni dalili mbaya sana, Italy wanasubiri mchezo wa kubahatisha ambao Spain hawakumbuki mara ya mwisho ilikuwa lini kutumia.
 
Hahahahhahahahaa.

Hawa makipa ndiyo world top stoppers?

My dear.
 
Back
Top Bottom