FIFA Club World Cup 2025: Michuano yenye mfumo mpya

Mkuu habari za simba kushiriki mwaka huu futa, timu zinazoshiriki mwaka huu fifa club world cup zimeshajulikana na mpaka ratiba imeshapangwa kabisa.... mechi ya ufunguzi itakayopigwa tarehe 15 june ni Al ahly vs Inter miami ya Messi.

Naona haujanjelewa kabisa comments zangu za awali, nimesema huko juu timu zetu za bongo kama zinataka kushuriki hii michuano basi zijipange zisikose michaono ijayo itakayofanyika 2029 kuna timu kama Pyramid moja ya mipango waliyonayo ni kuhakikisha wanashiriki hiyo michuano ya 2029.
Ivi azam watatulishia live kweli hiyo michuano ?
 
Kwa maana hiyo afrika itawakilishwa na timu tatu tu?
Na jumla ya timu sio 32 Kama bandiko lako linavyosema?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom