dah watu washavipakuwa zamani. na mimi nimeshavifuta kitambo.Mkuu jifunze kusachi kwa maana vitu vyote vitamu tayari vimo JF. Chukua hizi link kwa hisani ya mkuu Paje.
dah watu washavipakuwa zamani. na mimi nimeshavifuta kitambo.
muuliza anataka ya pc au ps??
na jee ana bandwith ya kutosha ya kupakuwa mzigo wa GB nyingi.......?
dah watu washavipakuwa zamani. na mimi nimeshavifuta kitambo.
muuliza anataka ya pc au ps??
na jee ana bandwith ya kutosha ya kupakuwa mzigo wa GB nyingi.......?