Hawa jamaa mwaka huu wapo kimya,
Kwa kawaida harakati zamsimu wao wa fiesta huanza mwezi wa saba mpaka sada tumeifikia october ambapo huwa fiesta inakua inakaribia kuhitimishwa
Bila shaka huenda biashara hiyo imeanza kuwashinda. Wasanii wamejitambua wanataka malipo makubwa.
Hivyo wameona biashara inawakata.
Nini maoni yako mdau!?