kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 753
Hivi rozaree ndio kale kadada kembamba kenye midomo myeusiii na kuna wimbo kameimba kama matusi hivi... Nlisikia kama kanasema... One for mother f.ck.r.....sijui kalikuwa kanamaanisha niniAhahahh mambo za fiesta na me tofauti fujo huko nipo hapa naangalia clouds plus rosaree kapendeza nimependa kivazi chake
Ahahahhh siri yangu sitaki kukuudhi nilivyokuwa nakufkilia leo umenifanya nikuone tofautiHahahaha,unapata picha gani
Ndio huyo huyoHivi rozaree ndio kale kadada kembamba kenye midomo myeusiii na kuna wimbo kameimba kama matusi hivi... Nlisikia kama kanasema... One for mother f.ck.r.....sijui kalikuwa kanamaanisha nini
Hahaha,ulivyokuwa unafikiria mpaka sasa uko sahihi..kamanumenielewa lakini!Ahahahhh siri yangu sitaki kukuudhi nilivyokuwa nakufkilia leo umenifanya nikuone tofauti
Kinondoni hapakufai hamia Kolomije tuMimi nipo hapa kinondoni kwangu nashindwa kutuliza akiri na kupumzika baada ya mizunguko ya mchana kutwa kwani nasikia makerere ya misauti ya miziki kutoka huko kumbe, ni hilo fiesta... Dah bora mkuu angezuia tu watu tupate muda wa kupumzika kwa hiyo leo sitapata usingizi kabsa.... Ila sio mbaya mwaka ujao haitafanyika tena hapo.....
Hapana [emoji1][emoji1][emoji1] umenifanya leo nikufkilie tofauti upo fiestaniHahaha,ulivyokuwa unafikiria mpaka sasa uko sahihi..kamanumenielewa lakini!
Hahaha, hizo story tu mie mambo hayo siwezi.Hapana [emoji1][emoji1][emoji1] umenifanya leo nikufkilie tofauti upo fiestani
EwaaaaaaHahaha, hizo story tu mie mambo hayo siwezi.
Niko home nangalia zangu hapa mbu ndiyo wananisaidia kushangilia.
Mama muda wa kuhudumia ndowa huuEwaaaaaa
Hapo sawa [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaaaaa
Hapo sawa [emoji4]
Mkuu veeep me ni mkeo jamanMama muda wa kuhudumia ndowa huu
Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu veeep me ni mkeo jaman
Nimekukumbusha tu usije ukaleta thread kesho ya kuokoa ndoa yakoMkuu veeep me ni mkeo jaman
Mkuu pambana na ndoa yako huko ulipo na mm ya kwangu nitapambana nayo nilete thread ili nije kuvumbua nini humuNimekukumbusha tu usije ukaleta thread kesho ya kuokoa ndoa yako
Nimeuliza Young labda me mkewe sijijuiAiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu vipi huyu Nandy umemwelewa kweli?Mkuu pambana na ndoa yako huko ulipo na mm ya kwangu nitapambana nayo nilete thread ili nije kuvumbua nini humu
Napambana na ndoa yangu byeMkuu vipi huyu Nandy umemwelewa kweli?