Kitendo cha jana watu kufurika fiesta kinaonyesha Magufuli hajabana na uchumi unaenda vizuri , kinyume na inavyohubiriwa na mawakala wa shetani kwamba uchumi umesinyaa na wananchi hawana hela mfukoni.
Hivi mwananchi kama hajala kabisa na hana hela mfukoni ,je hela ya kuingilia huko fiesta ataitoa wapi??
Hii ni aibu kubwa sana kwa chadema.