Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Ile njemba iliyokuwa inaropoka inaenda kulala baada ya Kiba kuperfom imeshaondoka?
 
Wasanii wa bongo CD ndo wanaziwezea, si mnaona hawa angalau mziki wao unasikika fresh tofauti na makelele ya hao waliopita?
 
Dah Bora Stamina kapanda Farasi maana na ufupi wake ule angekuwa kama Yai.
Stamina alishapotea kwenye gemu naona aliona fursa kwa Roma baaada ya kutekwa kajitahid kutembelea nyota na kalivyo kafupi poooh hana damu ya kupendwa kama Roma kamejinenepea tu na magimbi ya morogoro poooh staminah unatumia fursa unazan ushafanya kazi clouds poooh stamina nyota ya moni umechukua inaonekana babu aliyekuogesha anafaaa MPE na jux
 
Stamina huwa yuko fit jukwaani nduguyangu, hata asipokuwa na hit redioni anakiamsha jukwaani
 
Kanenepa zaidi ya Roma hiyo ni dharau na akipewa kitumbo kama cha msechu anaweza kuwa kama Friji la Beko
 
Stamina wa 2012 sio huyu aliimbisha shughuli ya jukwaa 2012-13 hadi nakumbuka after Rick Ross yeye ndio alifuata kwa kulichezesha jukwaa mwaka ule
 
Stamina wa 2012 sio huyu aliimbisha shughuli ya jukwaa 2012-13 hadi nakumbuka after Rick Ross yeye ndio alifuata kwa kulichezesha jukwaa mwaka ule
Alizidi kula sana ndo maana akapotea ashukuru kutekwa kwa Roma ndo kumeamsha nyota yake poooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…