Wabongo Tusingekuwa WAJUAJI tungekuwa mbali sana, Mwingine kaona mitindo yote imeisha ikabidi aje kama Kuku na ana bahati amepiga Show ya Kuku akiwa Dar angekuwa mikoani angeliwa na Wali.
Ukweli fiesta ya mwaka huu inaboa mbaya....wakina ruge walitaka kuonesha vitu vipya sasa ndo wameharibu...hakuna amshaamsha tupo tu utadhan tuko sinema