Nasubiria saa kumi,kumi na moja watu watakavyoporwa
Panya road wote lazima wametia mguu na panga viunoni sasa jichanganye urudi kwa miguu
Kila fiesta mida ya kurudi watu huwa wanalia option ni kurudi saa moja asubuhi kama huna gari na 90% hawana magari