Fiesta mwisho saa sabaHahaaa kwamba makonda hajapenda au
Wwnajifanya wazungu wanajua kuimba ila ndo hivyo nyota zipo kolomijee pyeeeeh putuuuuHahahaha
Vmoney Kakubali et usirudie tena Bongo bana..!!
DuuuhFiesta mwisho saa saba
Kwanini tena jaman poooohDemiss mungu anamuona
[emoji14] [emoji14] hiyo ndio shida, yao ila mpaka wakija shtuka kumesha kucha mda sanaWwnajifanya wazungu wanajua kuimba ila ndo hivyo nyota zipo kolomijee pyeeeeh putuuuu
Nan KasemaFiesta mwisho saa saba
Sijapata hata update mpaka muda huu...nahisi wameipotezea.Hivi ile show ya bure ya bibie Grace Mugabe imeendaje?
Kama uko leaders anza mdogo mdogoDuuuh
Bibie Grace MugabeNan Kasema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kavaa matenga ya kuku
Yaan kila nikimuangalia nakumbuka comment zenu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Uwiiiiiii vanesaa kavaa mananasi ya Geita poooooh
Sijapata hata update mpaka muda huu...nahisi wameipotezea.
Leo unamuonajeHuyu Vanessa kama homa za vipindi vile kuna wakati namuona mzuri kuna wakati namuona kama bibi..
UBER inanihusuKama uko leaders anza mdogo mdogo