Inaonyesha kizazi cha kitanzania sasa mwendo ni disco na fiesta tuuuu kwa vijana, mi nadhani hii ni kwa sababu viwanja na sehemu zote za wazi zimechukuliwa na mafisadi sasa vijana wa taifa raha yao ni fiesta , kiduku na kucheza disco,,,,sijui mwisho wake utakuwa wapi?nadhani tunahitaji kufikiri kwa kina kwa manufaa ya taifa la kesho.......nawakilisha[/b][/b][/font]
Mtoto wa kimarangu hakamtiki siku hizi....Huyu demu aliye nae nimemsahau jina kidogo, Namkumbuka enzi hizo nasali pande za mbezi b nilikuwa na muonaga church alikuwa hot sana, siku hizi naona kazeeka kuliko sisi wazee wenyewe!
Huyo mzungu, kwa wadhifa alionao,,kwa uzungu alionao,,kwa wakati ule wa nyomi la watoto wa geti kali na vyuo, ivi huyo demu alikua na hadhi gani ya kua nae???

Huyo ni Allan Chonjo, ni Meneja wa bia ya Serengeti...Uncle Rukus huyo ni Mchumbake mbona bado kifaa sana au kazeeka sehemu gani Uncle Rukus??? Jina lake linaanza na B***