Fido Vato wa Vatoloco Soldiers where you'r..?

Fido Vato wa Vatoloco Soldiers where you'r..?

Ndio iyoo sema mungu nae aanamakusudi yake... Sema lifestyles za arusha si zambele mjomba
[QUOTE="mayowela, post: 31175413, member: 256727"
kimya
[/QUOTE]
Lyrically mwamba alikuwa wacky, akazingua zaidi alivyoanza kuwachana mapacha, tag yake kwenye mziki naweza sema ilikuwa mabovu na ibrah da hustler alivyokufa mabovu na vatoloco chali
 
True Vatoloco soldier Mabovu alikuwa anachangia kuibeba sana
 
Hahahaa Fidooo yupo sana mchizi ..kitaa uku tunapasha daily ..vyuma vikavu Mchiz katulia na mama ake ya kizungu anakula maisha ..utengwani ndo tunatimbaga daily ngoma zipo nyingi balaa Sema mchizi ataki drop tu...

Haha kama namuona Lavostee vile, wiseman ..

Atari sana Chuga kama lembe ani..
 
Back
Top Bottom