Big KakaFid q kashindikana, kwenye hii game kabaki mwenyewe anaicheza anavyotaka.
Anakwambia sumu ndani ya watu na ndio hapo tunapokwama... Tunamoka ili kusafiri kihisia, ndio mstari wangu mpaka sasa umo.
Mstari alioniacha ni "na sio bikaka kama Idris" "hakuna ambaye hakosi labda Zizi kwa deeandy "
Ja hako kikoredaaaaaaaaaaaaah tuma na pic ya fid q mana nataka n mpost inst
bz leo n bday yke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Daaah balaaa Sana kawagusa wadau wenye kushikilia industry ya music bongo mawinguuuSTRICTLY HIPHOP
Maisha hayakupi unachotaka/
Ila yanakupa unacho tafuta/
_______________________________
Wema anataka saa almas/
Zari anaujali muda/
________________________________
Hawaamin kwenye kuunda diamond au kiba wawili/
Wanachoamin ni kumshusha mmoja ili mmoja awe
dili/
__________________________________________
Daaah hzo punch nmezielewa sana
#Msukuma_Genius
#Happy birthday @therealfidq
#SUMU
Hahahahahah achana nao hao machalii tunawajua, shughuli ya NGOSHA inawanyima usingizi.. Wanakwambia anakopi kwenye vitabu, ukiwaambia wakutajie mstari na kitabu alichonyofoa huo mstari hakuna watachojibu zaidi ya kutafuta kisingizio kingine cha kujifariji... Hawana jipya baada ya wale jamaa zao kupoteza dira na komesho zao zisizo commercial
Sugu alikuwa anatumia mistari ya kawaida kwenye nyimbo zake ila zilikuwa kali kuliko maelezo.
Huyu Fid Q anaye-Copy mistari kwenye vitabu hadi leo hajawahi kutoa wimbo mkali kuzidi wimbo wowote wa Sugu.
Taja mistari aliyokopi na kitabu alichokopi
Wewe huweki au tuuchukue huo huo mmoja?Pitia michango yote iliyotolewa utaona kuna mdau ameweka mfano mmoja hapo.
Kweli mkuu,inatakiwa tu sit back na tu relux tuinjoi kipaji hiki akiwa hai...jamaa ni alien aisee...tuache kua bitter jamaa lyrically ni 100% na delivery yake ni 100%....
I really enjoy havin Fid Q in my iphone,jamaa sio wa kawaida kabisa mkuu
Big Kaka
Fine hebu tutajie mistari hata miwili tu aliyo copy kwenye kitabu chochote. Utupe na mwandishi tafadhar. Hiv ww unafiki kusoma kitabu ni kaz rahis??? Tutajie kitabu ulichosoma ww tokea huu mwaka uanze .Taja mistari aliyokopi na kitabu alichokopi
Pitia michango yote iliyotolewa utaona kuna mdau ameweka mfano mmoja hapo.
Fid Q hatari sana, kama hauko vizuri upstairs huwezi mwelewa wala kupend nyimbo zake, ila mim kwa sasa simpend toka alipoamia kwa mkolon mweusi
Kwa hiyo unasema FID Q anakopi halafu hujui hata alichokopi na anapokopi?
Ngoma ishatoka tayariAliahidi kitoa track 2 kuna nyingine kaimba na Christian Bella
Report za TMZYangu self-esteem haitoki kama report za Tz.
Mnataka vtu rahis mm nawapa vtu halis.
Neno la kwel cyo zur na neno lenye uzur halina ukwel.
Huyu ndo fid ninaemuelewa mm.
Ukiwa msomaji wa vitabu mambo mengi sana utayapata huko.Watu wengi siku hizi wanapenda nyimbo za kukata viuno hili ni tatizo!!Ukisikiliza nyimbo za huyu jamaa lazima ujifunze kitu big up kwake!!Mistari ya kukopi kwenye vitabu...halafu nasikia jamaa anatumia ngada...?