Fid Q, How do you explain this brother?

langa / fid / duty knob
 
Upiversity ngoja nikuache na mwangaza kidogo, Ngwair aliwahi kurudia kwa kiswahili track ya Marques Houston, inaitwa Clubbin'. Kasikilize chorus za hizo tracks zote, halafu utuambie zinafanana kiasi gani.

kwi kwi kwi kwi kwi....ntaenda ukimaliza kunionesha 'mfanano' wa concept/idea ya tracks tunazojadili hapa?
Mbona hujibu hata na hiki,Fid kaiba hata matumizi ya yes-man?
 
Last edited by a moderator:
akasage chupa anywe.HAHAHAHAHAHA.

hawa ndio wale vilaza wa ktz wanaojaza server ya instagram kwa kuanzaisha makundi ya kuponda wasanii wetu wa ndani.bure kabisa.

hahahahahahahaha.....aibu yake!..anazuga kama hajaiona vile!
Kudos Deo Corleone!
 
Last edited by a moderator:
Paulo Sergio De Souz siamini kama umepitwa na hii taarifa!

First and foremost, Hiyo list kaandaa nani? and how valid is it? Hata wewe na ndugu zako mnaweza kuiandaa tu.

Another thing, 90% of People who say Hip-hop don't exactly understand what's hip-hop. I will school y'all one day soon on that.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu unashangaa bongo fleva? Huu si muziki wa ukweli, hawa wasanii wake wote ni fake kazi yao ni kukopi kazi za watu kisha wanalazimisha serikali iwalindie haki zao. Jiulize, eti mwizi anaomba alindiwe mali aliyoiba? Muziki ni ule wa dansi kwani umeenda shule na zina tungo za akili. Fleva imekuja juu tu kwa sababu Clouds especially Ruge na wenzake walikuwa wanawatumia hawa jamaa kuwapelekea mizigo bondeni mshahara air time. Ifie kule bongo fleva.
 
Last edited by a moderator:
Sasa since y'all have pushed me, kesho nikitoka mzigoni nitawafunulia tena how your main man is only elite to the stupids. Nothing but facts as usual, only way i do it.

Tuombe uzima
 
First and foremost, Hiyo list kaandaa nani? and how valid is it? Hata wewe na ndugu zako mnaweza kuiandaa tu.

Another thing, 90% of People who say Hip-hop don't exactly understand what's hip-hop. I will school y'all one day soon on that.

teh teh teh teh teh....aisee wewe ukikosa kwenye hiyo 90% yako mi nipigwe ban ya maisha JF!
 
Hadith za shigongo na nyimbo za fid. q nyingi ni usanii wa kukopy n paste..

Ni kweli kabisa....watu wanalazimisha tu vitu. Toka lini mwanamuziki anatembea na begi lililojaa CDs za Karaoke? Tuweni wakweli jamani, kwanini media haswa Clouds FM wanaforce kuua muziki wetu wa asili? Mbona kama unga walishauza sana kutumia hawa wasanii wa fleva, yaani bado hawajatosheka tu mpaka wakamatwe?
 
Dogo wannabe, rudi shule upate kujitambua. Usipende kulazimisha vitu kwani unapotoka na kuonekana mjinga.
 
Sasa since y'all have pushed me, kesho nikitoka mzigoni nitawafunulia tena how your main man is only elite to the stupids. Nothing but facts as usual, only way i do it.

Tuombe uzima

teh teh teh teh teh...huna lolote,we mweupe tu!...na 'swaga' zako za kimarekani kingi!wenzio tulifanya early 90's huko,utam-school nani wewe kuhusu hiphop!
 
Ukianza kufuatilia rappers kihivi, utastukia umebaki na rappers wa early 80s tu.
 
Last edited by a moderator:

Hiii unasema wewe kwa sababu unatumia akili na unazo ndiyo maana unaona huu upuuzi. Wasanii wa fleva ni alostoz, wameshindwa maisha wanakimbilia kuimba na kukopi kazi za wenzao. Kuna kuelemisha jamii kupitia miziki yao kama mauaji ya albino, kukemea kukopi kazi za watu na kuziita zao, kukemea kuwa fake kwa kujifanya black american, kubwia unga, ngono zembe, kuisambaratisha CCM, kutukana viongozi wezi wa serikali, yaani vitu vingi tu.
 
Sasa since y'all have pushed me, kesho nikitoka mzigoni nitawafunulia tena how your main man is only elite to the stupids. Nothing but facts as usual, only way i do it.

Tuombe uzima

i'm afraid you'll be wasting your time kid,cos we'll be fully prepared to refute your claptrap as usual.tag me when you get ready.
 
teh teh teh teh teh...huna lolote,we mweupe tu!...na 'swaga' zako za kimarekani kingi!wenzio tulifanya early 90's huko,utam-school nani wewe kuhusu hiphop!

Hahaha, hakuna noma mtu mzima.

i'm afraid you'll be wasting your time kid,cos we'll be fully prepared to refute your claptrap as usual.tag me when you get ready.

Haha, will do that Sir.
 
haha nimekusoma Mbishi, wengi wanaweza ila wanajisahau tu kidogo.

Ukianza kufuatilia rappers kihivi, utastukia umebaki na rappers wa early 80s tu.

Noma sana, ila inabidi wakumbushwe miiko ya sanaa.
 
teh teh teh teh teh...huna lolote,we mweupe tu!...na 'swaga' zako za kimarekani kingi!wenzio tulifanya early 90's huko,utam-school nani wewe kuhusu hiphop!

anadhani kuongea kingereza cha hivyo basi ataonekana bonge la mwana hip hop... mchambuzi mzuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…