Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
Hahahahah.. Njooni tu na ID mpya Ku msapoti Fareed Kubanda.. Nawaona tu mnavopinga kwa ID mbili mbili.
Whack rapper Zimaaa..
kwi kwi kwi kwi..umekosa hoja sasa,kaa kimya 'wanaume' tunaongea sasa!
Duuuuh.. Kwa jambo gani uliloongea mkuu!? Au kuwaambia watu wako nje ya Mada ndo la maana!?
Au ni uongo kwamba hakuna junior member ambao kwa kiasi kikubwa wamechangia Mada hii tu!??
Then, sio kwamba Fid Q kakopi ngoma ya KRS 1 tu.. Kakopi nyingi na vitabu pia.
Namna Fulani wewe ni BWANA MTATA.
teh teh teh..mtu akiwa nje ya mada namwambia,kama nnavyokwambia wewe kutoa tuhuma bila ushahidi unaonekana MJINGA!
Kijana sio kila kitu unataka upewe ushaidi ata akili yako ukitumia vizuri itakupa ushaidi kamili punguwani wewe
Duuuuh.. Kwa jambo gani uliloongea mkuu!? Au kuwaambia watu wako nje ya Mada ndo la maana!?
Au ni uongo kwamba hakuna junior member ambao kwa kiasi kikubwa wamechangia Mada hii tu!??
Then, sio kwamba Fid Q kakopi ngoma ya KRS 1 tu.. Kakopi nyingi na vitabu pia.
Namna Fulani wewe ni BWANA MTATA.
Paulo Sergio De Souz
mashahiri ktk sanaa inayohusiana na ushahiri,mziki ukiwemo,yalishaandikwa/imbwa zamani na kina shakespeare na kina shabani robert.kizazi chetu kinachofanya ni kuyafanyia modification tu.na ktk hilo unahitaji watu wenye kipaji cha ku-modify mashahiri kama fid q.ukisha lijua hilo hutopata shida.
tupac mwenyewe alishawahi kukiri kwamba,kipawa chake cha uandishi kilitokana na kusoma sana mashahiri ya shakespeare.
Ulimjuwaje mchawi kama wewe si mchawi? So ukisema mimi ni shoga watu awata pinga coz watajua wewe ni shoga mwenzangu
Paulo Sergio De Souz
mashahiri ktk sanaa inayohusiana na ushahiri,mziki ukiwemo,yalishaandikwa/imbwa zamani na kina shakespeare na kina shabani robert.kizazi chetu kinachofanya ni kuyafanyia modification tu.na ktk hilo unahitaji watu wenye kipaji cha ku-modify mashahiri kama fid q.ukisha lijua hilo hutopata shida.
tupac mwenyewe alishawahi kukiri kwamba,kipawa chake cha uandishi kilitokana na kusoma sana mashahiri ya shakespeare.
4. In hip hop there is such a thing as paying homage by quoting a great line. Jigga has done this plenty of times with Biggies lyrics.
.
Paulo kaweka hizo lines ambazao zingine hata haziendani Na maana ya FidQ.
Sidhani kama umeisoma post yangu vizuri, nimesema hivi "Nimegundua Jamaa ka-copy concept, baadhi ya mistari na maneno pia, japo kayafanyia sanaa kidogo."
Lines nilizoambatanisha hapo juu baadhi zanaonyesha maneno aliyoiba, pamoja na mistari, nyingine ni lines alizotafsiri. Ila since umefananisha 'Piga makofi' ya Jay na 'Make it clap' ya Busta, i think i understand where you're coming from.