Godfrey Justus Ndyanabo
Member
- Sep 24, 2014
- 7
- 1
true!nakubali ni fasihi ila nikiangalia katika hali ya kawaida ngumi ya jicho inauma kuliko ya sikio...kama vipi ingeanza akikupiga ngumi ya sikio wewe ndo upige ya jicho umalize kesi!...konde la jicho likikiupata hata nguvu ya kupiga ya sikio inakata
nakubali ni fasihi ila nikiangalia katika hali ya kawaida ngumi ya jicho inauma kuliko ya sikio...kama vipi ingeanza akikupiga ngumi ya sikio wewe ndo upige ya jicho umalize kesi!...konde la jicho likikiupata hata nguvu ya kupiga ya sikio inakata
Hii ni kwenye ngoma gani mkuu?