Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
ninaahidi kuufanya Uzi huu uwe bora !! ngoja nitoke kwanza bungeni
"kutaka kujua ukwel ni sawa na kumenya kitunguu kila ganda litakutoa chozi na kubaki macho juu juu"
Mc ananiiga halafu ananidiss anaona sifai...naamua kumchunia sababu kumjibu ni sawa na kutupa mawe juu ya mayai...my best ever
huyu jamaa ni hatari kwa kweli ana uwezo mkubwa sana wa kutunga mistari.after yy ni stamina anayefuata
ninaahidi kuufanya Uzi huu uwe bora !! ngoja nitoke kwanza bungeni
Akupigae ngumi ya jicho
mpige ngumi ya sikio
akikuuliza unaonaje
muulize unajiskiaje