danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,528
Usihofie kupitwa ili mradi muda haukuachi,amini kesho itafika kama ipo ili uipate
Propaganda
Propaganda
Na haka pia ''Maneno yao matamu,midomo yao inanuka'' - Propaganda
Hii ni kwenye ngoma gani mkuu?
Usiache kile unachotaka maishani,ghafla tuu na kufuata kile ulichotamani
Ielewe mitaa
Sema kwelii hii line ndo sijaielewa , mwenye kutoa uelewa na kutolea ufafanuzi "Ni vibaya kuhifadhi fufu la kichwa ndan ya kabati..""
Usintreat kama second class person,utakua umefanya first class mistake.
Fid,I am a professional
Maneno yangu mi ni ya moto,na mdomo wangu hauna fridge,
yanatoka bila kuyapooza afu najiuliza nliyameza vipi
August 13
My best is..
"Sihitaji Marafiki labda badae wakitokea,
Aje mmoja wa kuongea nae na mwingne wa kumuonglea...
Nadhani hapa alikua ana maanisha urafk ni unafki..
Siyo bongo tu hata uraya hakuna uhuru habari,kuna uhuru wa mwenye chombo...
"sikuhiz pesa haiongei pesa inaapa, utu umeshuka bei thamani ya pesa imepanda"
Yaa hiko wazi kabisa Uhuru uliopo ni wa mwenye chombo ndio ana sema nini kiandikwe na nini kisiandikwe!
Ana malizia kwa kusema! "Kamwe IPP haiwezi kumpinga Mengi"