FFU wazingira ukumbi wa Bunge Dodoma

Kama kumbukumbu zangu zilivyo nadhani kuna kundi jingine la wanafunzi wa hicho hicho Chuo wako nyumbani KWANINI HIYO MENEJIMENTI YA CHUO ISIJIUZULU HII NI AIBU JAMANI.
 
UDOM ni chuo kizuri sana!! KIna kila hadhi ya kuwa university. Tatizo ni kuwa chuo kimeanzishwa kutimiza matkwa ya kisiasa, ndo maana ukifuatilia kwa makini chu hicho kina matatizo ya kimsing, especially lectures and tutorial assistants!!!

UDOM ni sawa na ujezu wetu wa siku hizi, unachora ramani ya nyumba yako, halafu unamwaga jamvi na kupandisha upande, halafu unahamia eti kwa kuwa ukiwa hapo hapo utamalizia nyumba yako kwa haraka!!!
 
Na bado watatanda sana maeneo mengi maana wenye akili sasa wameamua kusaka haki zao. Mimbumbumbu bado iko CCM ikiendelea kuwaramba miguu huku ikinyonywa na yenyewe haijui haki zao ziko wapi.Lakini hata hao FFU hawataweza kushindana na nguvu ya Uma.Napolean Army was the Strongest Army in the World but it was defeated by People. Yes yes People defeated the Army. This will come to pass here as well.
Baadhi ya hao FFU wamewatoa Singida
 
Napoleon was not deposed through a people power movement. The French Imperial Army was defeated at Waterloo (in present-day Belgium) by a Coalition of Prussian and English armies.

Notwithstanding, you are inversely correct in that it was French People Power which gave Napoleon his Empirial status.


hii kitu gani unaongea
 
Baadhi ya hao FFU wamewatoa Singida

kwa hiyo wanakula posho tu hapo safi sana
baada ya muda FFU wanakuwa wanaamasisha vurugu kutengeneza posho
ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
serikali ikubali yaishe soon watakopa world bank kulipa hawa FFU au bajeti yao itapita ya jeshi
 
Wana haki ya kuandamana,vipi kama wangehusisha na wenzao wa vyuo vikuu na sekondari nchi nzima kupinga Posho za wabunge ilihali wanafunzi hawana hela za field,walimu hawalipwi vizuri,manesi na madaktari hawana mazingira mazuri ya kazi.Serikali isisingizie external force,itekeleze wajibu wake.Je,vipi wakibadilisha direction wakaamua kulitaka bunge livunjwe na kuhamasisha maandamano nchi nzima na migomo mfululizo?
 
Back
Top Bottom