FFU ni watanzania!!??

Hivi kweli hawa jamaa ni waTZ kweli, mi sura zao wengi nikiziangaliaga na jinsi walivyo hawafananii kabisa.

Duuh! hata mie umeniamsha ndg, inawezekana kweli hawa jamaa c wa-tz mana nashangaa cjui ht wana mioyo gani aisee??
 
Hayana akili yale, kula yenyewe ya shida afu bado hayaelewi
 
matusi tunayowapa wanausalama wetu sidhani kama tunakuwa tumewaza kwa hekima na busara.....hasira zetu zisifanye tusione umuhimu wao
 
we will feel their absence when they are not there.....! lets think twice on matters
 
Mkuu wa kikosi cha FFU hivi ni nani siku hizi? Niliwahi kusikia tetesi kuwa mojawapo ya makamanda wakubwa kabisa wa FFU inasadikiwa anatoka Rwanda (Mtusi) ila mke wake mdogo ni Mtusi kabisa.
 
Back
Top Bottom