Chezeiya moyo wa ntu! Kidogo na mie nijilipue na hii gun yangu!
Afadhali wamtume kwenye maandamano manake huwa anawaelekezaga waandamanaji pa kujificha,lol
Possible causes:
1.Kaukwaa
2.Mapenzi(kapenda asipo pendwa au demu wake kasikia analiwa kiboga)
3.Ugumu wa maisha(Mashaara mdogo,majukumu mengi)
4.Matatizo kazini(migogoro na wakuu wake wa kazi)
5.Matatizo ya kiakili(labda ameweuka,amedata au mibange)
[h=6] Maeneo ya Posta kuna askari aliyekuwa zamu Bank NMB kajipiga risasi mbili tumbon na kufa papohapo, sababu ya kufanya hivyo hazijajulikana mpaka sasA[/h]
Askari mmoja wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania amejipiga risasi majira ya saa 1.30 usiku na kujiua akiwa katika lindo la benki ya NMB House iliyopo barabaya ya Azikiwe jijini Dar es Salaam.
Kajunason blog ilifika eneo la tukio na kukuta mwili wa marehemu ikipakiwa kwenye gari ili upelekwe Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi zaidi. --- Taarifa zilizotufikia hivi punde zimemtaja Askari Polisi aliyejiua kuwa ni mwenye namba G.347 PC David Peter Seleman mwenye umri wa miaka 23, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Kikuu cha kati jijini Dar es Salaam. PC David alikuwa ni miongoni mwa askari waliomaliza mafunzo ya awali ya polisi katika chuo cha Polisi (CCP) kwa sasa inafahamika Moshi Police Academy. Alimaliza mafunzo yake June 2009 na baadae kupangiwa Kanda ya Dar es Salaam.
Kabla ya kujiweka mtutu wa SMG mdomoni na kufyatua risasi moja na kufumua mdomo na kutokezea kwenye paji la uso, PC David alionekana akiranda randa huku na huko hali akipiga simu wa watu kadhaa na baadae kufuta kumbukumbu ya mawasiliano katika simu yake jambo ambalo ingawa itabainika alikuwa akiwasiliana na nani lakini pia Jeshi la Polisi kutumia muda wa ziada kupata mawasiliano hayo.
Kwa mujibu wa kauli za wenzake waliokuwa lindoni nae walisema kuwa, PC David alikuwa amekerwa na kupanda kwa posho za wabunge walizopandishiwa kutoka 70,000/- mpaka kufikia 200,000/- kwa siku wakati Polisi wao wanalipwa 100,000/- kwa mwezi mzima.
Mpaka sasa tayari Polisi wameshaanza kufanya upelelezi kujua chanzo cha askari huyo kujiua kwa kujipiga risasi. Askari huyo ametimiza idadi ya askari wanne kujiua kwa kujipiga risasi wenyewe ambapo Askari mmoja alijiua kwenye chuo cha Polisi DSM, mwingine wa kike alijiua Tarime na mwingine Iringa.

Kama hili ndilo lililosababisha akjitoa uhai ni upumba na ukilaza tunaoongelea hapa jf kila siku kuhusu polisi wetu, kama tatizo ni kupanda kwa posho za wabunge kulimsononesha sana kwa nini asingesubiri bunge likianza arudi pale dom na mabomu kama sita kwa sababu yeye ana access ya kuyapata bila shida halafu aondoke na wabunge wengi zaidi sisi angetuachia na suala la uchaguzi. Pamoja na hayo mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu, amina
Duu maisha magum wandugu hana depression wala nn mshahara mdgo ana familia inamtegemea anaona mafisadi wanakuja bank kudraw billions of money kila sku wat do u espect???amechoka jamani may his soul rest in peace
Amejichukulia uamuzi wa kujitoa uhai kwa kukosa ushauri. inawezekana kuna jambo lilikuwa linamsumbua akilini na hakuweza kupata mtu wa kumshauri au yeye mwenyewe hakutaka kumshirikisha mtu yeyote, akaona uamuzi mzuri ni kutangulia kwa mola.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.