FFU mlinzi wa benki NMB ajipiga risasi

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Askari polisi mlinzi wa NMB benki Dar amejipiga risasi mbili tumboni na kufa haijajulikana sababu.
 
Heri yake na akapumzike kwa amani maana amefia imani yake iliyompelekea afanye hivyo!!maisha hayaeleweki hata!!!
 
sasa si ushawahi kupost tayari? edit basi utoe stori kamili. alikua analinda wapi? wengine wapenzi wetu ni walinzi benki,eboo
 
Mshahara mdogo halafu kazi ngumu.Ila licha ya ugumu wa maisha yao hufanya kazi kwa kujituma sana

Afande,raha ya milele akujalie Ebwana na nuru ya rehema akuangazie.Amen!
 
sasa si ushawahi kupost tayari? edit basi utoe stori kamili. alikua analinda wapi? wengine wapenzi wetu ni walinzi benki,eboo

Tukio limetokea jioni hii,kwenye mida ya saa mbili kasoro...ni maeneo ya posta mpya pale makao makuu ya NMB...nimeishuudia maiti kwa macho yangu.inauzunisha sana.
 
well said alijitwangia lisasi wapi
ilikuwaje? mood yake siku hiyo ilikuwa vipi
na blablablllllaaaa
sasa si ushawahi kupost tayari? edit basi utoe stori kamili. alikua analinda wapi? wengine wapenzi wetu ni walinzi benki,eboo
 
sasa si ushawahi kupost tayari? edit basi utoe stori kamili. alikua analinda wapi? wengine wapenzi wetu ni walinzi benki,eboo
Mbona huelekei kama unaweza kuwa na mpenzi mwenye akili mufilisi kama huyo kuruta?
 
sasa si ushawahi kupost tayari? edit basi utoe stori kamili. alikua analinda wapi? wengine wapenzi wetu ni walinzi benki,eboo

ha!ha!haaaaaaa!! Presha imepanda! Usikonde shemeji yupo tu ameteuliwa kwenda kuzuia maandamano ya cdm.
 
masikini afande wa watu sijui alichukia kitu gani.
R.I.P Afande.
 
Usiniambie kama unajua nnavyoelekea! Haya mapenzi acha baba, alikua mzoa taka nikamlipia mgambo hatimae akapata ukuruta. Usiguse hapo manake moyo moyo wangu kanishikia atii!
Mbona huelekei kama unaweza kuwa na mpenzi mwenye akili mufilisi kama huyo kuruta?
 
me ndo maana nakuwa makini sana nikiwakaribia hawa mapolisisisiem,wanashida nyingi sana mioyoni mwao,so anaweza kumaliza matatizo yake na wew bila kosa lolote,hasa unapoingia kwa atm mashine anaona unadroo cash za kutosha while yeye waatoto hawjui watakula nini.RIP a afande
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom