FEYAK: wizi mtupu

Amina Thomas

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
272
129
Hawa jamaa wanajiita 'events organisers'. Leo kulikua na siku ya mtoto wa afrika. Shule 4 zilishiriki pale cine club, zikiwemo bahari beach, saint florance, lincoln na saint valentine. Kila mtoto alichajiwa sh. 10,000 ikiwa pamoja na lunch. Kila mzazi alitakiwa kulipa 3,000. Kwanza watoto walikaa na njaa mpaka saa tisa kasoro, tena baada ya wazazi kudai na watoto kuanza kulia, kwani shuhuli ilianza toka saa tano asubuhi! Chakula chenyewe kikawa cha kugombea mpaka kutaka kupigana. Soda moja iligawiwa mara 2 kwenye glasi! Kwa kifupi hakukuwa na entartainment yoyote kwa watoto kwani hata michezo yote iliyokuepo hapo walitakiwa kulipia 1,500. Watoto wengine hawakula mpaka saa 11, tena baada ya kuzuka ugomvi mkubwa! Kwa kweli huu ni utapeli wa wazi!
 
Sasa umechukua hatua gani ?
 
Wazazi wengi wameapa kutoshiriki katika shuhuli yao yoyote. Labda wabadili jina. Na wazazi wengine wameahidi kuwatoa kwa magazeti!
 
Ukiwatoa mhariri atawapigia simu kwanza kudhibitisha -- hao jamaa office zao ziko palestina kuna internet cafe fulani hivi ni wakongo hao
 
Ukitaka kuharisha nenda CINE CLUB, kuna chakula kibovu sana na bites gone bad.IVE HAD THE EXPERIENCE FOR 2 CONSECUTIVE DAYS.
 
Back
Top Bottom