Ferooz awaanika Prof Jay na Chege

Ukweli wote wamtenge Ferous, lakini Chege, Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi? Hapana amekosea kumtenga Ferous, amekosea sana, mimi nasema hivi najua kwanini nasema. Wimbo sijausikia nisaidieni uko you tube au? Lakina Chege hapana, Mungu anakuona.
Chege ameitaja tu kutengeneza attention, ila bado ni washkaji ndio maana kwenye show 1 ya fiesta alipanda naye
 
Unajua shida yetu tukipatwa na magumu sababu ya njia zetu za maisha tunatafuta wa kumpa lawama.

Starehe afanye yeye,nyada ale yeye, lawama apewe chege na wengine.
 
Hapo unamsaidia au
 
Ukweli wote wamtenge Ferous, lakini Chege, Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi? Hapana amekosea kumtenga Ferous, amekosea sana, mimi nasema hivi najua kwanini nasema. Wimbo sijausikia nisaidieni uko you tube au? Lakina Chege hapana, Mungu anakuona.
Ingia johventure
 
Mnasubiri afe ndio mtoe msaada,ila wabongo kawaida yenu
Kwani wakati anatumia ngada ulikua wapi chief ,huyo kama msaada nakuomba umsaidie kwa kumpeleka rehabilitation
 
Ukweli wote wamtenge Ferous, lakini Chege, Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi? Hapana amekosea kumtenga Ferous, amekosea sana, mimi nasema hivi najua kwanini nasema. Wimbo sijausikia nisaidieni uko you tube au? Lakina Chege hapana, Mungu anakuona.
Mbona chege hajamtenga had alimpa shavu kupanda Kuperform fiesta moshi...labda kama kuna jingine tusilolijua mkuu
 
kiukweli producer kajamba saaana kwenye nyimbi ya jamaaa
 
Ni kosa kubwa sana kukazania kulaumu Watu hawakusaidii kwa makosa yako mwenyewe badala ya kupambana na hali..,
Kama ni issue ya Chege na J, hajamlaumu yeyote hapo... just lyrics!! Na ukiamini kamlaumu mtu basi ni sawa na kuamini track yake ya Bosi alikuwa anamlaumu bosi wake!!!
 
Nilikuwa nasikiliza Michael Jackson's "Wanna Be Startin' Something", wimbo ulio katika album yenye mauzo mengi kuliko zote duniani nafikiri, Thriller .
Dah, umenikumbusha! Juzi nilitaka kuangalia short film ya Liberian Girl, nikapitiwa... ngoja nietendee haki!!!i
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…