Ferooz awaanika Prof Jay na Chege

Ningekuwa Profesa Jay ningemjibu kwamba aje nyumbani nimlee
 
Mimi si mchambuzi wa mambo ya muziki ila nadhani anatakiwa aelewe soko la muziki linataka nini kwa sasa akishaelewa na kutimiza hili then aje ajiulize maisha yake yanataka nini kwa sasa.
 
Mwambie aache kulia lia maisha ndio yalivyo.
 
Haina tofauti na underground ...
Kawaida sana......
 
Wala ngada huwa wanalawama kinoma, sasa alitaka pro jay hamfanyie nini?
 
Hivi kwanini kufail kwako uwaone wengine wabaya kisa hawakusaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…