Feni inapogeuka kuwa taulo!???!

Feni inapogeuka kuwa taulo!???!

Mjanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2011
Posts
1,238
Reaction score
325
katika hali ya kutatanisha kuna jamaa yangu anasimulia jinsi alivyotembelewa na wageni (Marafiki) wake wawili kwa nyakati tofautitofauti, jamaa wakajiandalia maji ya kuoga (coz jamaa yangu anakaa gheto) baada ya jamaa kuoga na kurudi ndani akashangaa kuona hawajatembea na Taulo ila wakajiwashia Feni kwa spidi ya juu kabisa huku wakijigeuzageuza kwa lengo la kujikausha! (matukio hayo yalitokeaa kwa nyakati tofauti), hii sijui imekaaje-bonge la kioja!
 
Back
Top Bottom