Mzungu_bahili
Senior Member
- Oct 24, 2019
- 174
- 420
Kweli mkuu[emoji16]Mwanamke ataondoka nyumbani bila kuniomba ruksa Kama atakuwa amenioa yeye, tofauti na hapo kitakachomkuta ataenda kusimuliana na wazazi wake nyumbani kwao.
Nawasuburi pale [emoji125][emoji125]Ngoja mafeminist waje. Usiukimbie uzi wako tu.
Kuna Hawa walioaosomea Sheria ndo usiseme. Wanasema yeye akipika wew udeki, daahSiko kwenye ndoa ila siyo sawa mwanamke kutoka usiku
Hiki kizazi chetu cha kwanini nisifanye/nisiweze/sitakiwi....
Real. But Kuna haja shulen kuwa Kuna somo la kuwafunda mabinti labda itasaidia nduguTatizo linaanzia kule ambako jana usiku a lady and her the so-called gentleman walikutania Mtaa wa Saba, then leo asubuhi wanapanga kufunga ndoa (?) wikendi hii. Huo tayari ni ugonjwa na mtego kwao.
If the foundation is destroyed or weak, all else is akin to shifting & sinking sand!
Tatizo hao wafundaji tukawanunue wapi?Real. But Kuna haja shulen kuwa Kuna somo la kuwafunda mabinti labda itasaidia ndugu
[emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]akija Anita Makirita
ukibaki niite mbwa
Bibi Zetu mkuuTatizo hao wafundaji tukawanunue wapi?
Simple and clearKwenye nyumba lazima kuwe na mwenye mamlaka hamuwezi wote kuwa sawa. Ndo mana huwezi kukuta nchi au taasisi ina mabosi wawili ni vurugu.
Kwahiyo we mwanaume ukiamua mkeo ndo awe boss basi itakubidi uombe ruhusa ila wewe kama mwanaume ukiwa ndo muoaji na boss lazima aombe hataki mtumbue simple.
Ukijipima wewe ni sawa na Babu yako alivyokuwa kwa Bibi yako?Bibi Zetu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mchunguu huuIko hivi
Utii wa mwanamke unaletwa na mambo mengi sana.
Feminism mnailaumu tu bure.
Baba zenu hawakuwa nyie wa leo.
Mnatarajia wake zenu wawe kama walivyokuwa mama zenu.
Kuwa mwanaume ni zaidi ya kuwa na balls!
Muoneshe mwanamke wako WEWE NDIYE BABA MWENYE BOMA!
Kuitwa tu Daudi, Solomon, Mohamed hakukupi UKUU WA BOMA!
BE THAT MKUU WA BOMA UNAPASWA KUWA!!
Uone vile mwanamke hata mwenye kipato kukuzidi mwenye uwezo wa kumudu kila kitu chake BADO AKUTII KAMA MUME KAMA MKUU WA BOMA YAKO!!!
Mkiendelea
-kuvaa vaa vikaptura vyenu vya pinki hv
-kupaka paka poda za wake zenu,
-kulia lia mke hajalipa kodi sijui ada amejenga kwao,
-kulala mpk saa 8 mchana kwa kuwa jana ulikuwa kwenye mipombe ,
- kuhairisha hairisha tendo la ndoa in the name of kazi sijui nn kumbe tu ulikuwa happy hour kwenye house party mnafanya mitungo huko mnageuzana geuzana.
-kutokuwa na sauti ya baba hasa mbele ya watoto
-kuwa nahodha wa jahazi la familia yako, kwao mkeo na ya kwenu
-kushtaki shtaki wake zenu kwa mama zenu sijui dada zenu
-kuhofia mazungumzo na kutoa way foward na tamko la familia yako wewe kama baba
MTAENDELEA KUDHARAULIKA KILA SIKU
NA KUPEWA TAARIFA NA KWANZA HATA MNAOPEWA TAARIFA MKE ALIPO, MSHUKURU.
KUWENI WANAUME ILE HASA WANAUME!
Huu uanaume mnaoutaka kwenye kuagwa tu MUUDAI PIA KWENYE YAWAPASAYO KUENENDA KAMA WAKUU WA BOMA!
Vinginevyo Dunia haina Tena hao wanawake wa kutizama tu kende na kuzihofia!
KASIRIKA ILA FANYIA KAZI!