‘Female Viagra’ Drug Approved By FDA

‘Female Viagra’ Drug Approved By FDA

Ndo gia zao...anakwambia pesa ni maua...kama pesa maua wawape nyuki.
Wenye pesa anazunguka lakini anajua kuwa mkewe hata akigongewa atarudi tu.
Kimbembe kwa hawa 'wanamaombi'...
Pesa hana, ..ategemee asisalitiwe?
....aliuzwa Yesu kwa pesa, sembuse yeye hekimatele asisalitiwe?

Pesa na mwanamke ni kama Vumbi na Stoo
pesa na mwanamke ni kama ulimi na mate
 
Ndo gia zao...anakwambia pesa ni maua...kama pesa maua wawape nyuki.
Wenye pesa anazunguka lakini anajua kuwa mkewe hata akigongewa atarudi tu.
Kimbembe kwa hawa 'wanamaombi'...
Pesa hana, ..ategemee asisalitiwe?
....aliuzwa Yesu kwa pesa, sembuse yeye hekimatele asisalitiwe?

Pesa na mwanamke ni kama Vumbi na Stoo

Madame B shikamoo
 
Last edited by a moderator:
We ngoja tu zifike bongo uone ajabu yaan ukimsalimia mdada tu basi unakula mzgo minyege itawajaa hao itakuwa ni shangwe kila kona utaona watu wanakula mzgo!!!
Unaposhabikia Uzinzi kumbuka na Maradhi pia;Jua kuna HIV na rafiki zake.
 
Back
Top Bottom