Fellaini katia Pilau Mafuta Ya Taa

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Sawa umepika pilau lako umeweka kila aina ya viungo halafu unafika muda wa kula unagundua mtoto katia mafuta ya Taa ndani Ya Pilau.

Everton 1 Man utd 1 Magoli ya jioni yameendelea kutawala leo huku liverpool naye akifungwa goli la jion na kupoteza pointi zote tatu dhidi ya Bounermouth.

Napo pale Goodson park Everton naye kasawazisha dakika za Jioni baada ya fellaini kumchezea rafu mchezaji wa Everton na kuzawadiwa penalti iliyofungwa na Bainess.

Hiyo ndo Epl hakuna myongemyonge Pale.
 
Hahahaha! Hiyo ndo EPL bana! Kombe ni Chelsea au man city, hasa Chelsea! Full stop. Man u ajiandae na kichapo toka kwa totnham next week
 
Aliyemwaga mafuta ya taa na kukojolea kabisa ni Mourinho mwenyewe. Fellain lile garasa sijui hata linapataje namba pale.

Kumbe David Moyes alitimuliwa kimakosa. Surely he could have done way better than the so called Special One kama angepewa muda zaidi kidogo na mpunga wa kutosha kununua quality players
 
Back
Top Bottom